Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profileg
Omar Said Shaaban

@omarshaaban80

ACT Wazalendo Principal Legal Counsel and Minister for Trade and Industrial Development (SMZ)

ID:4041803781

linkhttp://www.saidattorneys.com calendar_today25-10-2015 22:06:29

2,0K Tweets

8,0K Followers

621 Following

shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

Vibe la mwenezi kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo.

Miaka 10 ya kupigania Maslahiya wote
Miaka 10 ya kupigania Zanzibar yenye mamlaka kamili.

ACTWazalendo

Vibe la mwenezi kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo. Miaka 10 ya kupigania Maslahiya wote Miaka 10 ya kupigania Zanzibar yenye mamlaka kamili. @ACTwazalendo
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Hoja yako KC mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na tangazo la kubadilika kwa jina la Tume limenifikirisha sana. Nimejaribu kufikiri kuhusu viapo vya Makamishna wa Tume. Wameapa kuitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sio Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Nikawaza hawa hawahitaji kuapa Upya ?…

Hoja yako KC mstaafu @zittokabwe na tangazo la kubadilika kwa jina la Tume limenifikirisha sana. Nimejaribu kufikiri kuhusu viapo vya Makamishna wa Tume. Wameapa kuitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sio Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Nikawaza hawa hawahitaji kuapa Upya ?…
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]
Mayahudi hawawi…

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾ [ البقرة: 120] Mayahudi hawawi…
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Being in India and get to hear from Indian Nationals speaking so highly about you, I felt privileged to had a moment with you when you visited Tanzania. Dr. S. Jaishankar (Modi Ka Parivar)

Being in India and get to hear from Indian Nationals speaking so highly about you, I felt privileged to had a moment with you when you visited Tanzania. @DrSJaishankar
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

'Licha ya kauli za kufungua ukurasa mpya wa siasa za kistaarabu kupitia falsafa ya 4R, lakini vitendo vyote vya kiharamia na wizi wa kura vilivyofanyika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 vinaendelea kwenye chaguzi za marudio.'

Makamu Mwenyekiti Bara
Isihaka Mchinjita

ACTWazalendo

'Licha ya kauli za kufungua ukurasa mpya wa siasa za kistaarabu kupitia falsafa ya 4R, lakini vitendo vyote vya kiharamia na wizi wa kura vilivyofanyika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 vinaendelea kwenye chaguzi za marudio.' Makamu Mwenyekiti Bara @MchinjitaIR @ACTwazalendo
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

“Chaguzi za marudio ni yaleyale ya mwaka 2019 na mwaka 2020; mageuzi makubwa yanahitajika katika uendeshaji wa uchaguzi nchini.'

Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara
Isihaka Mchinjita

“Chaguzi za marudio ni yaleyale ya mwaka 2019 na mwaka 2020; mageuzi makubwa yanahitajika katika uendeshaji wa uchaguzi nchini.' Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

Kesho Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo (Bara) ambaye pia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu Isihaka Mchinjita atazungumza na vyombo vya habari.

Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni, DSM
Muda: Saa 5:00 Asubuhi

Kesho Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo (Bara) ambaye pia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu @MchinjitaIR atazungumza na vyombo vya habari. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni, DSM Muda: Saa 5:00 Asubuhi #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo Ndugu Dorothy Semu ameshiriki Mkutano wa Kimataifa unaohusu Teknolojia, Habari na Uchaguzi Afrika ulioandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation nchini Afrika Kusini. Ujumbe wa ACT pia uliwajumuisha Zitto MwamiRuyagwa Kabwe, Mwanaisha Mndeme na Pavu Abdallah.

Kiongozi wa @ACTwazalendo Ndugu @SemuDorothy ameshiriki Mkutano wa Kimataifa unaohusu Teknolojia, Habari na Uchaguzi Afrika ulioandaliwa na Taasisi ya @BrenthurstF nchini Afrika Kusini. Ujumbe wa ACT pia uliwajumuisha @zittokabwe, @Mwanaishamndeme na @PavuAbdallah.
account_circle
Wizara ya Biashar na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar(@biasharaviwanda) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Wizara ya Biashara wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ndugu Fatma Mabrouk Khamis wamefanya ziara ya kutembelea Mradi wa Maendeleo ya barabara yenye urefu wa kilomita nane (8) unaoendelea kujengwa katika mtaa wa Viwanda Dunga Zuze,

Uongozi wa Wizara ya Biashara wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ndugu Fatma Mabrouk Khamis wamefanya ziara ya kutembelea Mradi wa Maendeleo ya barabara yenye urefu wa kilomita nane (8) unaoendelea kujengwa katika mtaa wa Viwanda Dunga Zuze,
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Isihaka Mchinjita amerudi nyumbani Lindi leo na kupokelewa kwa heshima kubwa. Kila la kheri ndugu Mchinjita katika majukumu yako muhimu

Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa @MchinjitaIR amerudi nyumbani Lindi leo na kupokelewa kwa heshima kubwa. Kila la kheri ndugu Mchinjita katika majukumu yako muhimu
account_circle
Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

'Mfumo wote wa Uchaguzi–ukijumuisha Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Sheria ya Uchaguzi, na Sheria zingine zinazosimamia vyombo vinavyohusika na uchaguzi–ufanyiwe marekebisho ili kuwe na Uchaguzi huru, wa haki na wa amani.'
Makamu M/kiti ACTWazalendo znz ⁦⁦Ismail Jussa

account_circle
shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

'Mfumo wote wa Uchaguzi–ukijumuisha Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Sheria ya Uchaguzi, na Sheria zingine zinazosimamia vyombo vinavyohusika na uchaguzi–ufanyiwe marekebisho ili kuwe na Uchaguzi huru, wa haki na wa amani.'

Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Zenj
Ismail Jussa

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

'....Kuhusiana na maneno ya Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM (Zanzibar), tumwambie kwamba asizungumze mambo asiyoyajua, asikurupuke na asitumwe kuzungumza asiyoweza kuyazungumza. Badala yake, ACTWazalendo tunamtaka
aliyemtuma Khamis Mbeto (Katibu mwenezi wa CCM Zanzibar)…

'....Kuhusiana na maneno ya Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM (Zanzibar), tumwambie kwamba asizungumze mambo asiyoyajua, asikurupuke na asitumwe kuzungumza asiyoweza kuyazungumza. Badala yake, @ACTwazalendo tunamtaka aliyemtuma Khamis Mbeto (Katibu mwenezi wa CCM Zanzibar)…
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

The hottest places in hell are reserved for those who, in times of great moral crisis, maintain their neutrality.”
― Dante Alighieri

The hottest places in hell are reserved for those who, in times of great moral crisis, maintain their neutrality.” ― Dante Alighieri
account_circle
Ambassador Michael Battle(@USAmbTanzania) 's Twitter Profile Photo

I enjoyed meeting with Dorothy Semu today, the first female party leader of ACTWazalendo, to discuss our shared efforts to build a more inclusive democracy and advance women’s political and economic participation in Tanzania.

I enjoyed meeting with @SemuDorothy today, the first female party leader of @ACTwazalendo, to discuss our shared efforts to build a more inclusive democracy and advance women’s political and economic participation in Tanzania.
account_circle
Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

Machi 17, 2024, Wanachama na Viongozi wa ACTWazalendo Mkoa wa Lindi watampokea Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita.

Ikumbukwe baada ya kuchaguliwa alikwenda Zanzibar na viongozi wenzake na sasa anarejea nyumbani Mkoa wa Lindi.

Machi 17, 2024, Wanachama na Viongozi wa @ACTwazalendo Mkoa wa Lindi watampokea Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara, Ndugu @MchinjitaIR. Ikumbukwe baada ya kuchaguliwa alikwenda Zanzibar na viongozi wenzake na sasa anarejea nyumbani Mkoa wa Lindi. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

Kesho Ijumaa Machi 15, 2024 nitazungumza na vyombo vya habari kwenye Ofisi Kuu ya ACTWazalendo Vuga Zanzibar.

Muda: 4:00 Asubuhi

Mada: Msimamo wa ACT kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar



Kesho Ijumaa Machi 15, 2024 nitazungumza na vyombo vya habari kwenye Ofisi Kuu ya @ACTwazalendo Vuga Zanzibar. Muda: 4:00 Asubuhi Mada: Msimamo wa ACT kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar #ZanzibarMpya #ZamzibarMoja #MamlakaKamili
account_circle