Nasri msuya (@nasrimsuya2) 's Twitter Profile
Nasri msuya

@nasrimsuya2

Mfanyabiashara ndogondogo na Mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema

ID: 928115079832375296

calendar_today08-11-2017 04:20:53

120 Tweet

148 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile Photo

Kati ya Sababu Zilizopelekea Magufuli Kutokwenda Kuhudhuria Hafla ya Kuapishwa Uhuru Kenyata ni Uwepo wa Tundu Lissu, Ingekuwa Aibu Kufika Kenya Asifike Hospitalini Kumjulia Hali Tundu Lissu. "Mtazamo Wangu"

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Mbunge John Heche aliuliza maswali kuhusu mchakato wa zabuni wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato uliopelekea kampuni ya Mayanga Contractors kupewa kazi ya tshs 39bn. Hakujibiwa. Mayanga ni Kampuni ya Nani? Imefanya kazi zipi kabla? Ilishindana na nani zabuni ya Chato Airport?

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

HABARI: RC Mbeya, Amos Makalla amesema ataandika barua kwa mwenyekiti wa CCM Taifa na katibu mkuu kuomba radhi kwa kushindwa kupata ushindi Kata ya Ibighi-MCL

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kuna utofauti gani kati ya yale wakoloni waliyowanyia Waafrika na haya ambayo serikali na dola inayoongozwa na ccm inayotufanyia sisi tunaotofautiana mawazo nao?! Hawa ni viongozi wa Chadema wako chini ya ulinzi wa polisi lakini wanateswa kwa kuchapwa kama wanyama!!!!

Nasri msuya (@nasrimsuya2) 's Twitter Profile Photo

Ulitaka tumtoe wapi kwani aliyekuwa mwenyekiti alitika wapi Patrik Ole Sosop ni kiongoz mzur tuliona alivyomzid hata mwenyekit wake Patrobas Katambi alafu ulitaka tumpe nani mwingine zaid yake x.com/ManenoIzaak/st…

Nasri msuya (@nasrimsuya2) 's Twitter Profile Photo

Mh:Zitto Kabwe kwan hakuna uwezekano wa kumlazimisha Mh:Rais afuate sheria tutaishia kulalamika hadi lini x.com/zittokabwe/sta…

Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa Ni Wiki Tatu Tu Baada Hostel Mpya Za UDSM Zilizojengwa Na Rais Magufuli Kuuanza Kutumika Hali Ya Majengo Hayo Iko Hivi !!

Ikiwa Ni Wiki Tatu Tu Baada Hostel Mpya Za UDSM Zilizojengwa Na Rais Magufuli Kuuanza Kutumika Hali Ya Majengo Hayo Iko Hivi !!
MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Nasimama na wabunge wetu wawili; Ndugu Peter Lijuakali na Susan Kiwanga, Madiwani wetu wawili na wanachama wetu 34 ambao kwa mara ya pili sasa bado wanakataliwa kupewa dhamana tangu Novemba 26. Dhamana ni haki ya msingi!Tusirudie makosa na uhuni. Aluta continua! ✌🏿✌🏿✌🏿

Nasimama na wabunge wetu wawili; Ndugu Peter Lijuakali na Susan Kiwanga, Madiwani wetu wawili na wanachama wetu 34 ambao kwa mara ya pili sasa bado wanakataliwa kupewa dhamana tangu Novemba 26. Dhamana ni haki ya msingi!Tusirudie makosa na uhuni.

Aluta continua! ✌🏿✌🏿✌🏿
MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Jana, Desemba 06: Tuliweza kukutana na kufanya kikao chetu cha Kamati Kuu. Tudumu ktk umoja, mshikamano na upendo huku tukielekeza nguvu, akili na maarifa yetu ktk kukiimarisha chama chetu. Hakuna kulala mpaka kieleweke....peopleeee...sss! ✌🏿✌🏿✌🏿

Jana, Desemba 06: Tuliweza kukutana na kufanya kikao chetu cha Kamati Kuu. Tudumu ktk umoja, mshikamano na upendo huku tukielekeza nguvu, akili na maarifa yetu ktk kukiimarisha chama chetu. 

Hakuna kulala mpaka kieleweke....peopleeee...sss! ✌🏿✌🏿✌🏿
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA tumepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kushambuliwa Wanajeshi wetu na kusababisha vifo vya watu 14 na 40 kujeruhiwa vibaya waliokuwa wanalinda Amani huko Congo DRC. Tunatoa pole za dhati kwa familia, JWTZ na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa .

Nasri msuya (@nasrimsuya2) 's Twitter Profile Photo

Katambi mliye mnunua alikuwaje mwenyekiti kma hakukuwa na uchaguzi? jibuni hoja si kuleta ngonjera hapa x.com/JLUBANGO/statu…

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Askari wetu mwengine Amefariki huko Congo na kufikisha idadi ya 15, ni chombo kimoja tu cha Habari kimeripoti.. the rest babu seyaaaa...

Ado Shaibu (@adoshaibu) 's Twitter Profile Photo

Ukiona kusanyiko la vijana wa chama kinachotawala kutoka kona zote za nchi limekutana na usisikie masuala nyeti ya vijana Kama vile ajira, elimu nk yakitawala na badala yake ukasikia vinavyotawala ni vijembe na mipasho ujue Kama taifa tuna tatizo kubwa! Zitto MwamiRuyagwa Kabwe @doromankaa

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa katika mkutano wa ccm Nchini, nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa linaelekea wapi,ni hatari sana kwa Nchi watu kuamini kuwa hawawezi kushinda uchaguzi kwa njia ya demokrasia,unafikiri huyu anaweza kumtangaza Mpinzani ?

Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa katika mkutano wa ccm Nchini, nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa linaelekea wapi,ni hatari sana kwa Nchi watu kuamini kuwa hawawezi kushinda uchaguzi kwa njia ya demokrasia,unafikiri huyu anaweza kumtangaza Mpinzani ?
M A G I R I (@kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

MaCCM walliokabidhiwa ofisi za umma wamejazana Dodoma wakikata viuno na kuimba IYENA IYENA. MaCCM hawa ndio ma returning officers wa NEC. Bado unategemea patakuwa na impartiality msimu huu wa kujitoa AKILI & HAYA?

MaCCM walliokabidhiwa ofisi za umma wamejazana Dodoma wakikata viuno na kuimba IYENA IYENA. MaCCM hawa ndio ma returning officers wa NEC. Bado unategemea patakuwa na impartiality msimu huu wa kujitoa AKILI & HAYA?
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

#UKAWAPRESS - "Hatuwezi kuingia kwenye uchaguzi wa marudio Januari mwakani, wakati wanatumia nguvu kunyima haki, Mpinzani anashinda hatangazwi, mawakala wanatolewa nje ya vituo, Viongozi na wanachama wetu wanakamatwa na wanapigwa" Mhe Freeman Mbowe

#UKAWAPRESS - "Hatuwezi kuingia kwenye uchaguzi wa marudio Januari mwakani, wakati wanatumia nguvu kunyima haki, Mpinzani anashinda hatangazwi, mawakala wanatolewa nje ya vituo, Viongozi na wanachama wetu wanakamatwa na wanapigwa" Mhe <a href="/FreemanMbowetz/">Freeman Mbowe</a>