Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile
Ole

@mbobezi

Siwajibiki na Vile Ulivyonielewa, Nawajibika na Nilivyoandika. #FikiriTofauti

ID: 3042007432

linkhttp://mbobezi.com calendar_today17-02-2015 05:56:38

30,30K Tweet

8,8K Takipçi

556 Takip Edilen

Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile Photo

Nilienda Ibadani Siku Ya Jumapili Nikakuta Milango Imefungwa na Mlinzi Akaniambia Ibada Leo Mnafanyia Nyumbani. Mpaka Keshokutwa Nitashangaa Sana Kanisa Kufunga Mlango Kwa Ajili ya Watu Wanaokimbilia Kwa Mungu. Hili Kanisa Letu Linahitaji Rehema za Mungu

Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Sherehe Wanakupa Hasara Hawa, Mtu Kachanga 70k Halafu Anakunywa Brutal na Anakuagiza na Hennessy 😂😂😂

Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile Photo

“Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu. Ee BWANA, uwatendee mema walio wema, Nao walio wanyofu wa moyo.” Zaburi 125:3-4 SUV Bwana Atakuletea Mema Yenye Utu Ndani Yake.

Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile Photo

Na Haya Ndio Niliyaona Katika Ndoto, Nipo Katika Shughuli na Kiongozi Mmoja wa Juu, Nikawa Namnong’oneza Jiandae Maana Wewe ni Kiongozi Mkuu Ajaye. Alitabasamu Kama Haamini. Nikaamka Ikawa Ni Siku Nyingine, Lakini Mwenye Moyo Wa Kuchangamka Sana. #Ndoto

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Wakuu kwa uhitaji wa huduma zifuatazo:- Professional business consulting,accounting & financial services, marketing,tax solutions, and strategic business advisory to help your business grow, adapt and succeed nicheck dm au email: [email protected] #MtuKaziSinaKazi

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Unajua kwanini Mungu ataingilia kesi yetu hivi karibuni?? ni kwa sababu kule mbele kuna giza zaidi ya hili. Kuna mtu ananyemelea kule juu. Ni mbaya sana, ni Shetani-mwanadamu, kwa nje kama mkristo, mpenda watu, mtoaji. Ila hatutafika huko. Mungu ameshamuona, ameshamzuia.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Nimeangalia properties za South Africa, nyumba ya kisasa unayoweza kununua kwa milioni TZS 600 kwenye eneo zuri hapa Tanzania lazima uuziwe bilioni 3 hadi 5. Plot ya kujenga kwenye eneo zuri tena sqm hadi 5,000 unaweza kununua kwa chini ya milioni 100, hapa Tanzania hiyo labda

Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile Photo

Hili Nakubaliana na Wewe Mmari, Nimezungumza Joberg na Kuangalia Apartment Zao ni Bei ya Chini Kuliko Kwetu Mpaka Unajiuliza Sisi Pricing Yetu Ilipata Kirusi Gani?

Ole (@mbobezi) 's Twitter Profile Photo

In One Of the Dialogues Organized By Kavazi La Mwalimu Nyerere and University of Dar es Salaam, President Mkapa on The Issue Said He was Advised Wrongly But Again He Also Failed To Have the System To Follow Up The Privatization Process, That The Intended Plan Is Followed