Moses Kwindi
@moseskwindi
Journalist at Azam TV Limited…..ALHAMDULILLAH
ID: 1161917060307410944
15-08-2019 08:26:29
459 Tweet
219 Followers
115 Following
Ushirikiano wa VYOMBO NGULI vya HABARI unakuletea #JaridaLaWikiendi Ni Azam TV Citizen TV Kenya na Voice of America Hivi karibuni kwenye LUNINGA yako…
#IPU || #IPUPresident || 🇹🇿 || Mitandaoni Ushindi wa Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dr. Tulia Ackson umepongezwa na watoa maoni katika #AzamNews Samia Suluhu Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Tulia Ackson Ambassador Hoyce Temu, PhD Azam TV Bunge la Tanzania
#STEM Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, Hisabati Moses Kwindi anakupitisha kwenye taarifa ya @WBTanzania kuhusu hali ya wasichana kujifunza na kuhitimu masomo ya #STEM Idara Otu, OLY Let Girls Read Run Grow
Mtu ana cheo kikubwa cha ukatibu wa taifa lakini hana mke, anyway hongera sana bro Jalilu Zaid
Perfect way to say goodbye from both Mr Ruben Amorim 🇵🇹 and Sporting CP And in the last match in charge he defeats Manchester City 4-1 in the UEFA Champions League The incoming Manchester United Boss sent a massive message to Premier League A tale of a “New Sir Alex Ferguson” begins At Old Trafford
Hii leo, mmoja wa mashabiki wa muziki wa msanii Mwasiti Almasi ‘amefunguka’ kuwa ngoma ya msanii huyo ‘Nalivua Pendo’ ni faraja kwake na wenzake pindi mambo yanapokwenda kombo kwenye uhusiano. Mwasiti Almas hongera!! Wewe unatumia nini kujiliwaza pindi ‘changamoto’ inapotokea?
As a fan of BBC News Africa and #FocusOnAfrica in particular I feel compelled, touched and heartily moved by this news of the medical fund appeal. May God raise Sophie Ikenye again from bed. 🤲🏾🤲🏾 Invest in GOD by Investing in People 🙏🏾🙏🏾 ALWAYS God will save you through people 🤲🏾🤲🏾
I am deeply honored and humbled to be elected as the WHO Regional Director for Africa WHO African Region . This is not just a personal milestone, but a collective victory for our continent’s unwavering pursuit of better health for all. I thank the Member States for their trust and