LilCrvsh🦋 (@mill3n_kl3in) 's Twitter Profile
LilCrvsh🦋

@mill3n_kl3in

Fan of ||yangasc1935 ||Arsenalfc ||🍁

ID: 1226063203098120193

calendar_today08-02-2020 08:40:38

11,11K Tweet

2,2K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Hakuna uchaguzi mkuu Mwaka 2025 yanayoendelea ni maigizo tu Keep this tweet now I have confidence ✍🏻✍🏻 I will retweet October 29

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Wana mtandao walimuua adi Mengi. Wana mtandao wamejulikana sasa maana walijificha kwa miaka mingi ila sasa THERE IS AN END TO EVERYTHING hatimae leo mambo yote hadharani

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Siku ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ilivyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itakuwa ni Jumatano, 29.10.2025. Je, wewe utakuwa upande gani?

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

“Money laundering” utakatishaji wa fedha unaofunikwa kwa jina zuri. Tangu lini, watoa pikipiki, baiskeli, magari, nguo nk wanataka kuchangiwa!!!!! State capture, money laundering.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Alafu Emmanuel Nchimbi acheni usanii mnatuonaje? Pikipiki, baiskeli mlinunua kwa bajeti gani? Kama ilichangiwa ilichangiwa na nani? Hiyo 100 bilioni ni ya DP World ama? Yaani tutajua tu maana wazalendo wamechoka huko ndani #TutaelewanaTu

Alafu <a href="/nchimbie/">Emmanuel Nchimbi</a> acheni usanii mnatuonaje?
Pikipiki, baiskeli mlinunua kwa bajeti gani? Kama ilichangiwa ilichangiwa na nani?
Hiyo 100 bilioni ni ya DP World ama? Yaani tutajua tu maana wazalendo wamechoka huko ndani
#TutaelewanaTu
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA Kesho Jumanne, Agosti 12 Saa Sita Mchana, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Tundu Lissu atafika Mahakama Kuu kusikiliza Maamuzi ya Maombi ya Marejeo yaliyofunguliwa na Mawakili wake ya kupinga uwepo wa Mashahidi wa kificho kwenye kesi ya Uchochezi. Uamuzi

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Jambo na Millard Ayo msiogope kutoa ushahidi wa kweli kama Jamhuri itawataka. Msiweke wala kukubali masharti ya kificho, kwani ukweli ni kinga ya kwanza ya haki. Hizi kesi siyo za mtu mmoja. Hizi ni kesi za dhamiri ya taifa. Kesho itakuwa ngumu kwa kila mmoja wetu iwapo leo

Mbishi ⚖ (@bizy94) 's Twitter Profile Photo

🚨ONLY 100 like Tundu Lissu exist worldwide✅legal mastermind, fearless hero fighting corruption! 🌍 Suluhu & CCM jail him to crush Tanzania’s democracy. Stand up, world! FREE LISSU! 🚨 #FreeTunduLissu #TanzaniaRises 🇹🇿

🚨ONLY 100 like Tundu Lissu exist worldwide✅legal mastermind, fearless hero fighting corruption! 🌍 Suluhu &amp; CCM jail him to crush Tanzania’s democracy. Stand up, world! FREE LISSU! 🚨 #FreeTunduLissu #TanzaniaRises 🇹🇿
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Misuli ya kushindana na nani? Mbogamboga acheni utapeli, hapo wafanyabiashara watawapa hela ili wasipate usumbufu kwenye kodi na mambo mengine! Ukisikia Bil 100 na ukasikia kuna watoto wa shule wanakaa chini au mama anajifungua chini, unajisikiaje?

Misuli ya kushindana na nani?

Mbogamboga acheni utapeli, hapo wafanyabiashara watawapa hela ili wasipate usumbufu kwenye kodi na mambo mengine!

Ukisikia Bil 100 na ukasikia kuna watoto wa shule wanakaa chini au mama anajifungua chini, unajisikiaje?
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Hatuwezi kubeza taarifa yoyote inayohusu uhai wa Lissu Alipoongea Tundu Antiphas Lissu 👇🏾 kabla ya kupigwa risasi si mlimbeza na hata kumtishia eti analeta taharuki!? Kapigwa risasi hadi leo hamna majibu! Mkishamwua tutashindwa kumrudisha so sisi tutapiga kelele hadi mbinguni! Msimguse!

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Sikudhani siku moja nchi kubwa kama hii position ya urais itachukuliwa poa hivi, hii ni ndoto wengi tulikuwa tunaogopa kuiota.