Samwel Meela (@meelasamwel) 's Twitter Profile
Samwel Meela

@meelasamwel

Personal

ID: 1559868260400742403

calendar_today17-08-2022 11:43:21

2,2K Tweet

423 Followers

488 Following

Dr. Mlaluko, MD (@drmlalukomd) 's Twitter Profile Photo

DONDOO ZA AFYA • Pima Hepatitis B, • Pima HIV, • Pima sukari (blood sugar) • Pima pressure (BP) • Epuka pombe na vilevi vingine • Epuka matumizi holela ya dawa, • Fanya mazoezi. TUNZA AFYA YAKO

Kante (@mkulimakante) 's Twitter Profile Photo

Kuna utajiri mwingi sana umejificha huko mikoani. Kuna maeneo inakuhitaji uende na mtaji wa milioni moja tu ili ukafanye maajabu.

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

💨 SAMSUNG BRAND NEW ▪️Samsung A06 (4+64) - 250,000 ▪️Samsung A06 (4+128) - 300,000 ▪️Samsung A07 (4+64) - 300,000 ▪️Samsung A07 (4+128) - 330,000 ▪️Samsung A16 (4+128) - 380,000 ▪️Samsung A17 4G (4+128) - 450,000 ▪️Samsung A17 4G (6+128) - 500,000 ▪️Samsung A17 4G (8+256) -

💨 SAMSUNG BRAND NEW

▪️Samsung A06 (4+64) - 250,000
▪️Samsung A06 (4+128) - 300,000
▪️Samsung A07 (4+64) - 300,000
▪️Samsung A07 (4+128) - 330,000
▪️Samsung A16 (4+128) - 380,000
▪️Samsung A17 4G (4+128) - 450,000
▪️Samsung A17 4G (6+128) - 500,000
▪️Samsung A17 4G (8+256) -
Doktamathew (@doktamathew) 's Twitter Profile Photo

Pengine ushawahi kuona mambo flani flani kwa aliekunywa pombe 🍺 na ukawa unashangaa inakuaje 🤔,fuatilia clip ujifunze leo ili siku nyingine usishangae tena Msisahau kupima H pylori 🦠,brusela na dundumio.Haya matatizo ni balaa jipya mjini 😨 #doktamathew 🩺 #fypシ゚

Malcolm 🏆 (@mlinganya) 's Twitter Profile Photo

Kila mwanamke duniani tangu Hawa mpaka wanaozaliwa leo wanazaliwa wakiwa na bikra zao. Ukiamua kuoa aliyekwisha tobolewa ni ujinga wako

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Tunawaambia kila siku hauna aliyesalama mbele ya CCM, hata ukiwa mwana CHAMA mtiifu namna gani kuna siku wanakulamba Huyu mzee amepigania maisha miaka yote, kupitia humo humo CCM wanampa vitenda na miradi, Leo wamemfirisi na kumtoa kwenye jengo na wamechukua jengo lenyewe CCM

Thomas-Josephat (@thomasjosephat3) 's Twitter Profile Photo

Kilimo kina njia kuu tatu 1.kulima 2.kununua mazao na kuyatunza 3.kununua na kuuza papo kwa papo Karibu mpambanaji TUTUMIE YOTHO GENERAL SUPPLY COMPANY LIMITED kama wakala wako binafsi wa kukusanya mpunga toka kwa wakulima. ZONE: MBEYA – MBARALI – KAPUNGA AINA YA MPUNGA:

Kilimo kina njia kuu tatu
1.kulima
2.kununua mazao na kuyatunza
3.kununua na kuuza papo kwa papo

Karibu mpambanaji 

TUTUMIE YOTHO GENERAL SUPPLY COMPANY LIMITED kama wakala wako binafsi wa kukusanya mpunga toka kwa wakulima.

ZONE: MBEYA – MBARALI – KAPUNGA

AINA YA MPUNGA:
Mwanza Mudi Mabiriani (@mwanzatown) 's Twitter Profile Photo

Kuishika $10000 ukiwa 📍Dubai ni kitu cha kawaida tofauti ukiwa kizimkazi jipange tafuta ajira uingie Dubai ujipige sopu sopu baada ya 2 yrs ukishakichanga unaingia zako AUSTRALIA +South Korea+Canada au nchi unayotaka agent waliopo hapa wa uhakika viza utapata bila uzushi wowote

Ibwe Salim (@salimuibwe) 's Twitter Profile Photo

Mtaani kugumu sana na kuna Ukatili sana.... Kuna Jamaa amekopa Milioni Tatu (3,000,000/=) anarejesha 15,775,000/= ndani ya Miezi 12. Yaani ndani ya Mwaka mmoja anakuwa amelipa Jumla ya 15,775,000/= zaidi ya Milioni 15 kwa Mwaka. Mtaa Katili sana.