Tatu Mayeye (@mayeyetatu) 's Twitter Profile
Tatu Mayeye

@mayeyetatu

God bless you

ID: 1467128695819317252

calendar_today04-12-2021 13:48:53

4,4K Tweet

1,1K Followers

681 Following

Shekh Ponda Issa Ponda (@sheikhponda) 's Twitter Profile Photo

MARAIS WETU chukueni hatua kuzuia mauaji dhidi ya raia. Jumanne vikosi vya serikali vimeua kijana na mzee wa miaka 75, Pemba Zanzibar. Siku tano kabla tumemzika Sh. Suleiman Ulatule (99) na kabla yake tulimzika Sh. Saidi Ulatule (79), wote wamefia mikononi mwa vyombo vya dola.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Karibu, Carol. Umefanya vyema pia kushirikisha wengine ili kuwapa moyo na kuwaongezea nguvu katika shughuli zao za ujasiriamali, wanaposhiriki na kujituma kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo yao na nchi yetu kwa ujumla. Nawatakia nyote kila la kheri.

Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

“Lissu akishinda tutakuwa na timu kamili (Mkt Mbowe atabaki kuwa Mzee wa Chama. Mjumbe wa kudumu wa Kamati kuu ya Chama). Hivyo bado atakuwa na nafasi ya kujenga Chama. Waliorudi nyuma kisiasa naamini watarudi kazini na wasioitakia mema CHADEMA wataona aibu sana” - Bob Chacha Wangwe

“Lissu akishinda tutakuwa na timu kamili (Mkt Mbowe atabaki kuwa Mzee wa Chama. Mjumbe wa kudumu wa Kamati kuu ya Chama). Hivyo bado atakuwa na nafasi ya kujenga Chama. Waliorudi nyuma kisiasa naamini watarudi kazini na wasioitakia mema CHADEMA wataona aibu sana” - <a href="/BobWangwe/">Bob Chacha Wangwe</a>
Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

"Kwa maneno inawezekana Rais Samia Suluhu, anazungumza lugha ya maridhiano, lakini kwa vitendo anaendeleza ya mtangulizi wake." Katibu Mkuu wa ACTWazalendo Ado Shaibu #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

اللهُ أكبَر، اللهُ أكبَر، اللهُ أكبَر، سُبْحَانَ الَّذِيسَخَّرَ لَنَا هَـٰذَا وَمَا كُنَّا لَهُ مُقْرِنِينَ ﴿١٣﴾ وَإِنَّا إِلَىٰرَبِّنَا لَمُنقَلِبُونَ ﴿١٤﴾ اللّهُـمَّ إِنّا نَسْـأَلُكَ في سَفَـرِنا هذا البِـرَّ وَالتَّـقْوى، وَمِنَ الْعَمَـلِ ما تَـرْضى، اللّهُـمَّ هَوِّنْ

Kassala (@vicent_kassala) 's Twitter Profile Photo

Halafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe wala hana kisasi wala kinyongo. Kuthibitisha hilo, alishamtetea Mbowe kwa namna ambayo kila mmoja alistaajabu, pindi Bashite alipomrushia Mbowe tuhuma za kipuuzi kuwa ni muuza madawa ya kulevya. Records ziko wazi. Shida iliyopo, Mbowe amejimilikisha CHADEMA!

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Leo Naibu Katibu Mwenezi wa ACTWazalendo, Ndugu shangwe Ayo atakuwa ndani ya Kasri.(Crown Media) Muda kuanzia saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku. Usiache kufuatilia. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Leo Naibu Katibu Mwenezi wa <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a>, Ndugu <a href="/ayo_shangwe/">shangwe Ayo</a> atakuwa ndani ya Kasri.(<a href="/CrownMediaTZ/">Crown Media</a>)

Muda kuanzia saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku. Usiache kufuatilia.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Ismail Jussa (@ismailjussa) 's Twitter Profile Photo

#ZANZIBAR: Mwenyekiti wa @ACTWazalendo, Mhe. Othman Masoud Othman leo amezindua programu maalum ya mafunzo ya vijana wa ACT Wazalendo yenye lengo la kuwaandaa kwa ajili ya majukumu mbali mbali ya kiuongozi na kiutendaji Serikalini mara baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Tatu Mayeye (@mayeyetatu) 's Twitter Profile Photo