Yericko Nyerere(@YerickoNyerereT) 's Twitter Profileg
Yericko Nyerere

@YerickoNyerereT

@Zikomoawards: Best AUTHOR of the Year in Africa 2023 | Intelligence and Security Analyst | Member of National Assembly of CHADEMA | Chairman-YECCO GROUP LTD.

ID:286623632

linkhttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.dautechnology.yericko calendar_today23-04-2011 10:55:37

72,9K Tweets

254,5K Followers

3,9K Following

Yericko Nyerere(@YerickoNyerereT) 's Twitter Profile Photo

Basi watu waliovuviwa (brainwashed) ujinga wa Dini Za Majahazi zilizoingilia Bagamoyo, Kilwa na Kivukoni wataanza kukakamaa mafuvu na kuparulana wakiona Tanzania wakristu ni Milioni 38.97 kati ya Watz Milioni 60+. Anyway Dini yangu ya Mizimu hata wangesema Tz niko pekee yangu poa

Basi watu waliovuviwa (brainwashed) ujinga wa Dini Za Majahazi zilizoingilia Bagamoyo, Kilwa na Kivukoni wataanza kukakamaa mafuvu na kuparulana wakiona Tanzania wakristu ni Milioni 38.97 kati ya Watz Milioni 60+. Anyway Dini yangu ya Mizimu hata wangesema Tz niko pekee yangu poa
account_circle
Yericko Nyerere(@YerickoNyerereT) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na nauli lipia Tsh 100,000/= kwa +255715865544 au +255755865544 (Yericko Nyerere) tuma majina yako na mahali ulipo,

account_circle
Yericko Nyerere(@YerickoNyerereT) 's Twitter Profile Photo

OFA MAALUMU

Kitabu cha “UJASUSI” kwa 30,000/= Badala ya 80,000

Lpia kwa:

Tigo Pesa 0715865544
M-Pesa 0755865544
(Yericko Nyerere)

Tuma majina yako na ulipo

Kwa Dar ni free delivery

Nje ya Dar nauli ni 8,000/=

OFA MAALUMU Kitabu cha “UJASUSI” kwa 30,000/= Badala ya 80,000 Lpia kwa: Tigo Pesa 0715865544 M-Pesa 0755865544 (Yericko Nyerere) Tuma majina yako na ulipo Kwa Dar ni free delivery Nje ya Dar nauli ni 8,000/=
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

💥💥 ka-boom ‼️
11 October 2021
“Hata mimi ujiniuliza nitakwambia mi mzanzibari - sina kabila”
- Samia Suluhu mwenyewe

Utambulisho wake kasema ni Mzanzibari 😃
Sasa leo iweje kumwita mzanzibari iwe ubaguzi?

Alafu kujiita mzanzibari kama si kabila ni nini? Utaifa? Uraia? Hadi…

account_circle
Yericko Nyerere(@YerickoNyerereT) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo sasa hoja yako ya ubaguzi wa Lissu unaifuta rasmi na kuungana na Lissu kudai Muungano wa Serikali tatu ili na Tanganyika iwepo na ilinde raslimali zake kama mlindavyo nyinyi Wazanzibar?

account_circle
Dr. Chris Cyrilo(@DrCyrilo) 's Twitter Profile Photo

Bunge litenge vikao vya mambo ya Muungano na yasio ya Muungano.
Kwenye mambo yasio ya Muungano wabunge kutoka Znz wasuwepo kama ambavyo hakuna wabunge kutoka bara kwenye baraza la wawakilishi la Znz!

Why Wabunge wa Znz walipwe posho kujadili mambo ya bara yasio ya Muungano?

Bunge litenge vikao vya mambo ya Muungano na yasio ya Muungano. Kwenye mambo yasio ya Muungano wabunge kutoka Znz wasuwepo kama ambavyo hakuna wabunge kutoka bara kwenye baraza la wawakilishi la Znz! Why Wabunge wa Znz walipwe posho kujadili mambo ya bara yasio ya Muungano?
account_circle
Uiso Barikij(@UBarikij) 's Twitter Profile Photo

Yericko Nyerere Yericko mjibu jamaa kutona na uelewa wake hao wamarekani na waitaliano wanasruhusiwa ila watanganyika hawaruhusiwi

account_circle