Matumbi (@matumbi14) 's Twitter Profile
Matumbi

@matumbi14

Human Rights

ID: 1317319500656742400

calendar_today17-10-2020 04:20:58

666 Tweet

441 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Bara John Heche akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Vijana mjini Nkwenda yaliko Makao Makuu ya Wilaya ya Kyerwa, ikiwa ni mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Victoria.

Makamu Mwenyekiti Bara <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Vijana mjini Nkwenda yaliko Makao Makuu ya Wilaya ya Kyerwa, ikiwa ni mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Victoria.
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ilibidi tushuke chini ya Jukwaa ili kukubali kunyeshewa na mvua na wananchi ili kazi isikwame. Tafadhali endelea na Tone Tone 0744446969

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Nawakumbusha tu huo umati wa CDM hakuna msanii hata mmoja anatoa burudani, wala haluna bongo muvi, watu wanajadili maslahi ya nchi..Burudani tunaenda kitambaa cheupe

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Na katika kosa lilifanyika ni kumuweka Lissu ndani, kumemuongezea ushawishi wa kisiasa akitoka hilo nyomi atakalokula mkoani uko mtampiga makwenzi aliyewashauri huo upuuzi.

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

#BreakingNews Wadhamini waliofika kituo cha Polisi Kati kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituo hapo. Wadhamini Waliokamatwa ni; 1. Ntele Benjamin - Katibu wa Chadema Kanda ya Pwani 2. Ernest Mgawe - Mwenyekiti wa Chadema

#BreakingNews Wadhamini waliofika kituo cha Polisi Kati kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituo hapo.

Wadhamini Waliokamatwa ni;
1. Ntele Benjamin - Katibu wa Chadema Kanda ya Pwani
2. Ernest Mgawe - Mwenyekiti wa Chadema
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Nimesikia mara kadhaa viongozi wakisema reforms zimeshafanyika, natamani ajitokeze kiongozi mmoja wa serikali afanye press aelezee hizo reforms zilizofanyika na pembeni yake awepo HECHE..Watanzania wajue mbivu na mbichi ndani ya nusu saa tu then waamue wanacheza au hawachezi.

Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndie Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA taifa Dada Brenda Rupia Jonas yupo kasi sana. Ameimudu hiyo nafasi kuliko Wakurugenzi wote waliowahi kupita ndani chama. SISIEMU hawafikii hata nusu yake. Huyu ndiye aliyechukua nafasi ya Mzee Jon Mrema 😅🫵🏽 NAOMBA #REPOST 100 KWAKE

Huyu ndie Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA taifa Dada <a href="/BrendaRupia/">Brenda Rupia Jonas</a> yupo kasi sana. Ameimudu hiyo nafasi kuliko Wakurugenzi wote waliowahi kupita ndani chama. SISIEMU hawafikii hata nusu yake. Huyu ndiye aliyechukua nafasi ya Mzee <a href="/JonMrema/">Jon Mrema</a> 😅🫵🏽

NAOMBA #REPOST 100 KWAKE
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA tunaelewa kwamba tusiposhiriki uchaguzi hiyo ruzuku ya SERIKALI hatuwezi kupata. Tunajua matokeo ya kutoshiriki uchaguzi chini ya muundo wa kifashisti wa CCM. Hivyo MSAJILI kuzuia RUZUKU ya CHADEMA kwa miezi 3 ijayo ni KITUKO. Asitutishe. Agenda ni NO REFORMS; NO ELECTION

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost Repost Repost

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost Repost Repost
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mmemsikia mama yake Polepole? Haya ndio maumivu ya kina mama wote ambao watoto wao wanatekwa na nyie. Mnamwaga damu za watu ili nyie watoto wenu wafurahie maisha.. maumivu ya watoto wa wengine ndio furaha ya watoto wenu.. Je mnaamini kwamba watoto wenu ni muhimu kuliko watoto