Fahdi Lyimo
@lyimo_fahdi
#🌱 farmforlife 🌱
ID: 1388009496862146561
30-04-2021 05:57:23
277 Tweet
104 Followers
708 Following
Debe la Pilipili Mwendokasi Kwa Sasa Shambani 5000. Je Mbeleni Itapanda Au ndiyo Itazidi Kuporomoka? Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 Mkulima Forum🌾 Mkulima Young
Wataalam wa Kilimo, Tusaidiane hii Changamoto hapa ni Aina Gani ya Ugonjwa na Unatibikaje? Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 Beno Lyimo @
Ulikuwa wakati mzuri sana ku-meet na mkulima wa Dodoma,my brother TAM ASILIA Familia ni kubwa mno
Furaha ya Mkulima #🌱 farmforlife 🌱 Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 Ken the farmer.🚜 Demi Farms Saumu Farms🧄
#🌱 farmforlife 🌱 Brother Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 hapa yule Jamaa yetu ndo Alisemaje Vile😂😂😂
Moja ya Bidhaaa Zetu zinazotokana na Zao la Pilipili Aina ya mwendo Kasi, tumeamua kuliongezea Zao value kutokana na Bei ya Pilipili Kwa Sasa kuwa Chini. #TAM_TAM_CHILL_SAUCE🤤😋 Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 Vijota Mazao bi shamba Malkia Nyuki
When God Blesses you. Show It. 𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿 Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 Farm With Fred Vijota Mazao
Leo Katika Taarifa ya Habari Tenga la Nyanya Limeuzwa Laki Moja 100,000 toka kwenye 25,000. #Dhahabu_Nyekundu_Imeanza_Kuchangamka Jason J. Kanan 𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿 Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 𝐏𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐍𝐳𝐮𝐫𝐢 Themkulima Vijota Mazao