Vijota Mazao (@vijotamazaoo) 's Twitter Profile
Vijota Mazao

@vijotamazaoo

Agribusiness,Passionate in farming & B.A. in Sociology (SAUT)

ID: 1740350725106872320

calendar_today28-12-2023 12:35:58

604 Tweet

452 Followers

1,1K Following

Star_One๐ŸŽ–๏ธ (@kstar_one9) 's Twitter Profile Photo

Wanangu Wawekezaji hii tukiamua tunabebaโ€ฆ Retweet yako moja inaweza kunifanya kuwa mshindi wa hii challenge tuipate hii PC Naombeni retweet 2000+ wanangu ๐Ÿ™ #RetweetChallenge #LaptopGiveaway #icaretechnlogy

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Nilipoanza kilimo hata familia yangu hawakuamini kama naweza fanikiwa kwenye sekta ya kilimo(mazoea na historia) lakini leo nimekuwa mfano kwenye familia, kijana komaa na ndoto yako. #KilimoNiAjira

Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na tahadhari na watu wanaokuthamini tu kwa kile wanachofaidi kutoka kwako. Mahusiano ya kweli hustawi bila kujali maslahi binafsi. // Be cautious of those who value you only for what you bring to the table. True relationships thrive beyond transactions. #MoLife

Kuwa na tahadhari na watu wanaokuthamini tu kwa kile wanachofaidi kutoka kwako. Mahusiano ya kweli hustawi bila kujali maslahi binafsi.

//

Be cautious of those who value you only for what you bring to the table. True relationships thrive beyond transactions. #MoLife
Vijota Mazao (@vijotamazaoo) 's Twitter Profile Photo

Usikate tamaaa kwa sababu ya kushindwa;Kumbuka,mafanikio yanajengwa juu ya makosa yaliyopita jaribu tena na tena KILIMO KINAITAJI MIOYO MIGUMU SONGA MBELE

Fahdi Lyimo (@lyimo_fahdi) 's Twitter Profile Photo

Moja ya Bidhaaa Zetu zinazotokana na Zao la Pilipili Aina ya mwendo Kasi, tumeamua kuliongezea Zao value kutokana na Bei ya Pilipili Kwa Sasa kuwa Chini. #TAM_TAM_CHILL_SAUCE๐Ÿคค๐Ÿ˜‹ Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Vijota Mazao bi shamba Malkia Nyuki

Moja ya Bidhaaa Zetu zinazotokana na Zao la Pilipili Aina ya mwendo Kasi, tumeamua kuliongezea Zao value kutokana na Bei ya Pilipili Kwa Sasa kuwa Chini. #TAM_TAM_CHILL_SAUCE๐Ÿคค๐Ÿ˜‹ <a href="/msakufarm/">Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ</a> <a href="/VIJOTAMAZAOO/">Vijota Mazao</a> <a href="/VPopitolo/">bi shamba</a> <a href="/MalkiaNyuki_/">Malkia Nyuki</a>
Vijota Mazao (@vijotamazaoo) 's Twitter Profile Photo

VIJOTA MAZAO Tunajihusisha na kilimo ca Pilipili Mwendokasi kuanzia kutoa ushauri mpaka sokoni.Kwa mawasiliano whtasp +255654201020

VIJOTA MAZAO
Tunajihusisha na kilimo ca Pilipili Mwendokasi kuanzia kutoa ushauri mpaka sokoni.Kwa mawasiliano whtasp +255654201020