Lucas (@lngongomi) 's Twitter Profile
Lucas

@lngongomi

Solar Cristus, Solar Scriptura, Solar gratia

ID: 1237469535135059968

linkhttp://www.raiseofhope.org.tz calendar_today10-03-2020 20:05:58

443 Tweet

215 Followers

1,1K Following

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Wanaodhani kufa kwa mwko kumetuondoa kwenye kudai katiba na utawala wa sheria wanatakiwa wamaikilize Mwalimu Nyerere hapa! Safeguard kubwa ya kuUia udikteta ni kufuata utawala wa sheria! No More No Less yaani!..

National Geographic History (@natgeohistory) 's Twitter Profile Photo

Far too much plastic is mismanaged at the end of its life, ending up in landfills or in our environment. What can we all do in our daily lives to be part of the solution? Paid content for @MillikenandCo on.natgeo.com/3oMbs3f

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Fedha zinatolewa na wafadhili kutoka mashirika mbalimbali kwa ajili ya kuboresha mazingira ya elimu kwa mtoto wa kike, lakini watoto wengi hawafaidiki na fedha hizo bado wanasoma katika mazingira hatarishi yenye changamoto nyingi. #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi #ChangeTanzania

Fedha zinatolewa na wafadhili kutoka mashirika mbalimbali kwa ajili ya kuboresha mazingira ya elimu kwa mtoto wa kike, lakini watoto wengi hawafaidiki na fedha hizo bado wanasoma katika mazingira hatarishi yenye changamoto nyingi.  #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi #ChangeTanzania
Deutschland.de (@de_deutschland) 's Twitter Profile Photo

Become a part of the #MySolution Social Media Challenge! Show us how you contribute to the #GenerationRestoration & how you take action to restore our 🌍! πŸ’š No step is too small, every action counts! Find out how easy it is to enter for a chance to win great prizes:

SEG Abroad (@segabroad) 's Twitter Profile Photo

Scholarships, tuition-free or cheap universities. Your study abroad opportunity awaits! Find yours today - bit.ly/seg-join

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

I received the news of the passing on of former President Kenneth Kaunda (KK) with shock and a deep sense of sadness and sorrow. I convey my heartfelt condolence and sympathies to Your Excellency President Edgar Chagwa Lungu, KK's family and the friendly people of Zambia.

I received the news of the passing on of former President Kenneth Kaunda (KK) with shock and a deep sense of sadness and sorrow. I convey my heartfelt condolence and sympathies to Your Excellency President <a href="/EdgarCLungu/">Edgar Chagwa Lungu</a>, KK's family and the friendly people of Zambia.
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mshahara wa Mwalimu 700, 000 Mshahara wa Daktari 1, 480,000 Mshahara wa Mbunge Milion 11 Angalia kazi ya Mwalimu akufundishe hadi upate uelewa, Dr. ahakikishe anakoa maisha yako then linganisha na wanachofanya Bungen akina Babu Tale, hivi nani anapaswa kuongezwa mshahara.?

Ngaso6 (@ngaso6_ngaso) 's Twitter Profile Photo

Ibadani kuna masharti?Tumewahi kujiuliza kwanini inafikia wakati tunamchezea mungu?Atawajibu nnachompendea huwa anapiga kadri ya Kauli zao. Nanukuu 'Eti nikiachia madaraka sioni wakuendeleza haya nnayo fanya.' akitokea ghafla anakuta mbowe gaidi anajua ye ndo kumbe hajui yani😁

Ibadani kuna masharti?Tumewahi kujiuliza kwanini inafikia wakati tunamchezea mungu?Atawajibu nnachompendea huwa anapiga kadri ya Kauli zao. Nanukuu 'Eti nikiachia madaraka sioni wakuendeleza haya nnayo fanya.' akitokea ghafla anakuta mbowe gaidi anajua ye ndo kumbe hajui yani😁
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Adv. Peter Kibatala, akipunga upepo nje ya mahakama. Tumpe pongezi nyingii sana na tumwage RETWEETS nyingiiiiii sana; nitamuonyesha huo upendo. Hiyo ni salamu yetu kwake, haswaa watu ambao hamjapata nafasi ya kufika mahakamani kumshuhudia mwamba huyu. Let’s go!

Adv. Peter Kibatala, akipunga upepo nje ya mahakama.

Tumpe pongezi nyingii sana na tumwage RETWEETS nyingiiiiii sana; nitamuonyesha huo upendo. Hiyo ni salamu yetu kwake, haswaa watu ambao hamjapata nafasi ya kufika mahakamani kumshuhudia mwamba huyu. 

Let’s go!
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mallya: Kama gari la OCD iliyowabeba ilikuwa na siti TANO na unasema ninyi mlikuwa watu SABA, mueleze Mhe. Jaji nani alimkalia ACP Kingai? Dahh!! πŸ˜‚πŸ˜‚

Mallya: Kama gari la OCD iliyowabeba ilikuwa na siti TANO na unasema ninyi mlikuwa watu SABA, mueleze Mhe. Jaji nani alimkalia ACP Kingai?

Dahh!! πŸ˜‚πŸ˜‚
Saleh Mwanamilongo (@smwanamilongo1) 's Twitter Profile Photo

JUST IN: Congo's Superior Council Defense meeting decisions: - M23 considered as a terrorist group and excluded from the Nairobi peace process. - Warns #Rwanda for #M23 support -All flights of RwandAir to #DRC suspended with IMMEDIATE effects. - Rwandan ambassador's summons