Sir Giuseppe M Giovanni (@kingjohn255) 's Twitter Profile
Sir Giuseppe M Giovanni

@kingjohn255

Diplomat/CFR Alumni/
Journalist and TV personality /
Businessman/
Political activist and analyst/
Human Rights Ambassador/
Media & Communications Expert

ID: 4428988103

calendar_today09-12-2015 17:51:37

9,9K Tweet

87 Followers

42 Following

Sir Giuseppe M Giovanni (@kingjohn255) 's Twitter Profile Photo

Je unatatizwa na jambo lolote la kiitifaki? Ama kidiplomasia, na unataka ulielewe kwa kina, una kazi yako inahitaji usimamizi na kimipango? Basi wasiliana na hawa watu utapata maelezo na ushauri wa bure kabisa Joex Event Planning & Management +255 (0) 719 263 074, wapo mwenge.

Sir Giuseppe M Giovanni (@kingjohn255) 's Twitter Profile Photo

Katika watu makini ambao taifa tunajivunia kua nae ni Balozi Dr, Emmanuel Nchimbi katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, kwani kwa hakika namna anavyoongea na kupangilia hoja zake zinakua zinaeleweka sana kwa watu wenye makundi mbali mbali, hakika huyu ni mwanadiplomasia kweli kweli

Sir Giuseppe M Giovanni (@kingjohn255) 's Twitter Profile Photo

Dr Mh, Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri jeshi mkuu amempendekeza Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dr Emmanuel John Nchimbi kua mgombea mwenza wa Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi october mwaka huu January Makamba

Dr Mh, <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri jeshi mkuu amempendekeza Katibu mkuu wa <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> Balozi Dr Emmanuel John Nchimbi kua mgombea mwenza wa Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi october mwaka huu
<a href="/JMakamba/">January Makamba</a>
Sir Giuseppe M Giovanni (@kingjohn255) 's Twitter Profile Photo

Wachambuzi wengi sana wa michezo leo hii wanamlaumu John Noble kwa kusema makosa aliyoyafanya jana ni hujuma dhidi ya team yake, na wakisisitiza kwamba amepewa rushwa, na wanazungumza kwa sababu kacheza na Yanga, ila makosa yakitokea team zingine hapo ni ubinadamu, Cc Azam TV