Moses Kayombo (@kayombomos) 's Twitter Profile
Moses Kayombo

@kayombomos

ID: 1832460651916115970

calendar_today07-09-2024 16:47:49

52 Tweet

8 Followers

116 Following

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Acheni kuumizwa na matendo ya Spika Job Ndugai , Mungu anatarajia kutenda muujiza hivi karibuni kwake ,asiwachoshe kabisa ,kwani imeandikwa...Mithali 16:5 MUNGU huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa.

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost Repost Repost

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost Repost Repost
Rev. Fr. Petros Mwale (@fr_petros) 's Twitter Profile Photo

My brother priest in Zambia - Africa, Fr. Peter Banda. The love he has for his parishioners in this rural and remote parish is unimaginable. This inspires me, I pray for him and all priests in the world. May God bless him.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kama ulifuata misingi, itikadi na falsafa za kuanzishwa CHADEMA; huwezi kusumbuliwa na upepo. Utakuwa na FURAHA wakati wote, ukiendelea kutimiza WAJIBU wa mwanachama. CHADEMA ni UHURU na MABADILIKO ya KWELI. Tupo pazuri sana. CHAMA kipo katika mikono salama. #NoReformsNoElection

Pope Leo XIV (@pontifex) 's Twitter Profile Photo

May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mfanyakazi wa NMB Alois Soka ambaye ni baba mdogo wa Deo Soka aliyekuwa anafatilia kwa karibu kupotea kwa Deo Soka, ameuwawa kwa kupigwa risasi wakati wa shutdown. Hakuwa muandamanaji, ameuwawa nyumbani kwake Msiba upo Pugu kwa kaka yake aitwaye Peter Soka

Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Wakati serikali ikiendelea kutubagaza kwa kauli za kejeli, dharau, uongo nk, napendekeza wananchi tujipe wenyewe siku 30 za kuomboleza vifo vya ndugu zetu. Tunaweza kujadili nini cha kufanya ndani ya siku hizo kwa faida ya nchi yetu. Nawasilisha! Dr. Chris Cyrilo.

Wakati serikali ikiendelea kutubagaza kwa kauli za kejeli, dharau, uongo nk, napendekeza wananchi tujipe wenyewe siku 30 za kuomboleza vifo vya ndugu zetu. Tunaweza kujadili nini cha kufanya ndani ya siku hizo kwa faida ya nchi yetu.

Nawasilisha!
Dr. Chris Cyrilo.