Michael S. Kabota
@kabotaz
Retired Chairman of LG'Auditor's
ID: 2880965207
17-11-2014 13:10:43
5,5K Tweet
442 Followers
523 Following
Jamani nafanya biashara ya viatu tofauti tofauti vya kiume, Mimi ni dada mjasiriamali naomba mninyanyue kwa kushea, najua mnayonguvu ya kunifikisha mbali, kama mteja soi wewe nasi tupo mteja kwenye to yako Lubasha Jr Kenny Mmari Snr. Maria Sarungi Tsehai Kigogo Media Togolani Mavura
Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu tunaomba tuendelee kupata huduma ya Dr. Dorothy Gwajima ikikupendeza awe mbunge wa kwanza kuteuliwa kati ya wale 10 na Wiziri wa WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII anaupiga mwingi na anakuheshimisha sana.