Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profileg
Kenny Mmari Snr.

@KennedyMmari

A Voice of Reason in a Confused World | Sworn Adversary of GroupThink | Communication, Technology and Impact | TZ State-affiliated Media | CE @SerengetiBytes

ID:2309651022

linkhttps://cosoc.com/KennedyMmari calendar_today25-01-2014 08:28:36

4,9K Tweets

165,1K Followers

1,0K Following

Follow People
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Hivi kwa sisi watu wazima tunaoangalia filamu za ‘animation’ na kuzifurahia sana, kwani tuna tatizo lolote?🤣

account_circle
Mmassy Jr (II)(@LelloMmassy) 's Twitter Profile Photo

Nyie am proud of Kenny Mmari Snr. .Embu apewe muda zaidi kwenye mijadala mipana zaidi na mikubwa zaidi. Kha!

Ana kitu.Atafika mbali.👏👏

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Wananchi tunaomba uvumilivu. Msimu wa Kwanza, Mfululizo wa nne (S01E4) unaendelea kufanyiwa kazi.

Timu yetu imekamilisha sehemu kubwa ya kazi na sasa inafanya color grading, kisha tutafanya rendering na kuexport.

Timu yetu inatumia Premiere Pro na siyo Capcut ;)

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa ni mjadala mzuri sana kwenye jukwaa la , tukio lililoandiwa na The Chanzo.

Fun Fact: Huwa sipendi kujisikiliza kabisa nikiwa naongea. Sijui kwanini. Lakini hapa nimejisikiliza kwa hofu kidogo, kuwa kuna kitu nilikosea. Potelea mbali 😀

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Meli ya Titanic, S01E4 leo itatoka rasmi.

Mashabiki mnaruhusiwa kutoa mapendekezo ya maudhui, na pia wakati na namna ya kuzindua.

Baada ya S01E4, season ya kwanza itamalizika na tutakuwa na S02E1 msimu ujao.

Asante kwa kufuatilia.

account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

'Matumizi ya mitandao ya kijamii yanaweza kubadilisha msimamo wa umma katika uchaguzi kwa kufanya maamuzi sahihi au yasio sahihi.' ~Kenny Mmari Snr. -Founder Serengeti Bytes

'Matumizi ya mitandao ya kijamii yanaweza kubadilisha msimamo wa umma katika uchaguzi kwa kufanya maamuzi sahihi au yasio sahihi.' ~@KennedyMmari -Founder Serengeti Bytes #UhuruNaUbunifu
account_circle
The Phenom ®(@EngThomasMinja) 's Twitter Profile Photo

Multipolar world: Growth for underdogs, balanced power, economic diversification, improved living standards. Unipolar end: Bullying stops. Africa benefits from multipolarity.

account_circle
Seif Kabelele(@seifkabelele) 's Twitter Profile Photo

'If you see someone insulting or spreading rumors online, that's an indication of that person's life. However, let's not perceive online actions as representative of society as a whole.'- Kenny Mmari Snr., founder of Serengeti Bytes speaking at;

'If you see someone insulting or spreading rumors online, that's an indication of that person's life. However, let's not perceive online actions as representative of society as a whole.'- @KennedyMmari, founder of @SerengetiBytes speaking at; #UhuruNaUbunifu
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Usambazi wa taarifa za uzushi bila ya kutolea ufafanuzi unaweza ukaathiri maamuzi makubwa kwenye upande wa uchaguzi Kenny Mmari Snr. ~ Mwanzilishi wa Serengeti Bytes.

Usambazi wa taarifa za uzushi bila ya kutolea ufafanuzi unaweza ukaathiri maamuzi makubwa kwenye upande wa uchaguzi @KennedyMmari ~ Mwanzilishi wa Serengeti Bytes. #UhuruNaUbunifu
account_circle
Seif Kabelele(@seifkabelele) 's Twitter Profile Photo

'The dissemination of misinformation without clarification can affect significant decisions, especially in the context of elections.' - Kenny Mmari Snr., Founder of Serengeti Bytes.

'The dissemination of misinformation without clarification can affect significant decisions, especially in the context of elections.' - @KennedyMmari, Founder of @SerengetiBytes. #UhuruNaUbunifu
account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

A multipolar world provides growth opportunities for the oppressed underdogs, which is good for Africa and the global south.

This is because it fosters balanced power distribution and economic diversification, leading to improved living standards and inclusion.

A unipolar

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kutuelezea ni namna gani Ahmed huwa anafanya ‘promo’ na ikiwa ni ‘salama’ kuwekeza katika kufanya promo kwa ajili ya timu dhaifu kama Simba?

account_circle