
Jumbe Saidi
@jumbe70
Alqadiriya Arraziqiyah
ID: 2989751147
21-01-2015 12:38:22
948 Tweet
1,1K Takipรงi
6,6K Takip Edilen


Martin Maranja Masese Martin Maranja Masese nadhani unaipenda CDM sababu ya misingi yake ya Sera, ila CDM Hiyo inayo kukufanya uite wenzako MaCCM ikija kutoka kwenye misingi unayoiamini nadhani unaweza ukaja kuomba uanachama CCM. kosoa kwa Staha. jamaa zako waliohamia CCM zile kauli zao zinawahukumu Sana

Kwame Kivaisi Lissu sio mtu wa kuaminika kabisa hachelewi kuwaacha kwenye mataa muda sio mrefu.


Think Different Hivi NRNE ni ya Cdm na ndio wanafanya induced kwa wananchii lakini usiseme hii kitu ni ya wananchi ingekuwa ni ya wananchi basi leo kingekuwa kitu kingine kabisa










โผ๏ธHuyu ni Dada Hilda Newton mchepuko wa John Pambalu ambaye ameikimbia nchi kwenda Kenya yeye pamoja na mwanae na huko anaishi kwa hela anazopewa na NGO kuichafua Serikali kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi



Hongera sana Prof. Mohamed Janabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi WHO African Region. Ni ushindi wa Rais Samia Suluhu na Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba
