Avidan (@jafezt96444) 's Twitter Profile
Avidan

@jafezt96444

Avidan

ID: 1723600748565377024

calendar_today12-11-2023 07:17:50

234 Tweet

25 Followers

197 Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 12/12/2025 , Mwenyekiti wetu ametimiza mwezi mzima tangu mara ya mwisho alipoletwa Mahakamani. Mlimkamata kwamba mna kesi, mna mashahidi na mmejiandaa kumaliza hii kesi. Watanzania wajue na Dunia ijue huo uhaini unaofanywa na mwanasiasa anaekupinga kidemokrasia. Leo

Leo tarehe 12/12/2025 , Mwenyekiti wetu ametimiza mwezi mzima tangu mara ya mwisho alipoletwa Mahakamani.

Mlimkamata kwamba mna kesi, mna mashahidi na mmejiandaa kumaliza hii kesi. Watanzania wajue na Dunia ijue huo uhaini unaofanywa na mwanasiasa anaekupinga kidemokrasia.

Leo
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote. Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN. 1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN 2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote 3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Oyaaa Machalii, Bro niko Gado, nakula CHABO😁😁 Huyu niaje-niaje kaingiza hewa, hakuna kitu anasema iko solid. Ni kelele za bure, hakuna haki, hakuna ukweli. Mwendo ni ule ule, hakuna kubadilisha gear , 🚫 BAN. 🚫 BAN wasanii wote wanauza uongo. 🚫 Huyu pia piga BAN , unfollow,

Oyaaa Machalii, Bro niko Gado, nakula CHABO😁😁
Huyu niaje-niaje kaingiza hewa, hakuna kitu anasema iko solid. Ni kelele za bure, hakuna haki, hakuna ukweli.
Mwendo ni ule ule, hakuna kubadilisha gear , 
🚫 BAN.
🚫 BAN wasanii wote wanauza uongo.
🚫 Huyu pia piga BAN , unfollow,
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huu ndio uelekeo wa TAIFA. Nasikia kuna MSANII kajipigia NYETO YA MAFANIKIO-Kajiwekea Viewers MILIONI moja ila nyimbo haipo Trending. Safi wanangu hawa TUKABIE JUU HIVI HIVI. TUTAKUWEPO🫵😎

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

TUWEKE NGUVU KWENYE MAMBO YA MSINGI. Sidhani kama Vijana wanawasusia wasanii kwa kuipigia Kampeni CCM kama ambavyo baadhi ya viongozi wanajaribu kupotosha. Sababu kubwa inayotolewa na Vijana kwa kuwasusia wasanii ni kufuatia vitendo vyao vya kufumbia macho vitendo na Mauwaji

TUWEKE NGUVU KWENYE MAMBO YA MSINGI.

Sidhani kama Vijana wanawasusia wasanii kwa kuipigia Kampeni CCM kama ambavyo baadhi ya viongozi wanajaribu kupotosha.

 Sababu kubwa inayotolewa na Vijana kwa  kuwasusia  wasanii ni kufuatia vitendo vyao vya kufumbia macho vitendo na Mauwaji
Avidan (@jafezt96444) 's Twitter Profile Photo

Mpwapwa tumekosea wapi - Barabara mbovu - Umeme hakuna kama kwenye mapango na hakuna tofauti na Maisha ya mende - Nani atawasemea Mpwapwa??

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

KAMA MITUME WA KWANZA WANGEKUWA KAMA MWAMPOSA NANI ANGETAMANI KUWA MKRISTU?. Mwl. John Pambalu Nimemsikiliza Mtume Mwamposa akisema, " Na upande wa pili ambao wanadai LABDA wana haki zao wanadai........". Haya ni maneno ya mtumishi wa Mungu ambaye kwa hakika mpaka sasa hajui

KAMA MITUME WA KWANZA WANGEKUWA KAMA MWAMPOSA NANI ANGETAMANI KUWA MKRISTU?.

Mwl. John Pambalu 

Nimemsikiliza Mtume Mwamposa akisema, " Na upande wa pili ambao wanadai LABDA wana haki zao wanadai........". Haya ni maneno ya mtumishi wa Mungu ambaye kwa hakika mpaka sasa hajui
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

29.10.2025 | 29.11.2025 | 29.12.2025 | Leo, ni siku 73 zimepita. Hii ni sawa na wastani wa miezi miwili na siku 13 tangu kufanyika mauaji ya kutisha ya raia kwa kupigwa risasi — (state-sponsored mass murder). Hakuna uwajibikaji kwa wahusika. We will remember not to forget.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Butiku acha uhuni wewe mzee Unasema umeonana na Polepole mara mbili, sasa maelezo ya Murilo na Msigwa wanasema Polepole yuko Cuba, kwa nini ukutoka kusema umeonana na Polepole kukanusha hayo maelezo yao — Kwa nini wewe ambaye ni swahiba wa Samia ujamshauri uchunguzi huru

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday my good friend Tundu Lissu 🎉 You remain one of the very few people that I truly respect, trust and I really miss our conversations Uko duniani kwa jukumu moja kubwa na ngumu na umeikubali na kuibeba bila kulalamika - hatuna cha kukulipa 🙏🏽 Ila muda wako umefika

Happy birthday my good friend Tundu Lissu 🎉
You remain one of the very few people that I truly respect, trust and I really miss our conversations

Uko duniani kwa jukumu moja kubwa na ngumu na umeikubali na kuibeba bila kulalamika - hatuna cha kukulipa 🙏🏽
Ila muda wako umefika
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

ndoto za mamilioni ya wananchi wetu ya kujenga nchi yenye kujali haki, uhuru na utu na maendeleo ya kweli ya watu wetu. Ndugu Waombolezaji, Mambo ya kusema juu ya Mzee wetu huyu ni mengi na mazuri, hatutaweza kuyamaliza yote kwa muda mfupi tulionao leo. Naomba nimalizie salamu

Pascal Yohana Haonga (@haongahon) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuwa Vodacom wanatumika na CCM kuna haja ya kuanzisha kampeni maalumu ya kuchoma moto line zao. Huu ujinga wanaofanya hauvumiliki kwa namna yoyote ile.

Kwa kuwa Vodacom wanatumika na CCM kuna haja ya kuanzisha kampeni maalumu ya kuchoma moto line zao.
Huu ujinga wanaofanya hauvumiliki kwa namna yoyote ile.
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Usiogope wala kuyumba moyo, kwa maana waliokuweka jela wana mashaka makubwa kuliko wewe. Wewe una dhamira, wao wana hofu, wewe una msimamo wa haki wao wana wasiwasi. Ukweli haufungwi kwa minyororo, na haki haizimiwi kwa kuta za gereza. Endelea kusimama imara, kwa sababu

Usiogope wala kuyumba moyo, kwa maana waliokuweka jela wana mashaka makubwa kuliko wewe. Wewe una dhamira, wao wana hofu, wewe una msimamo wa haki wao wana wasiwasi. Ukweli haufungwi kwa minyororo, na haki haizimiwi kwa kuta za gereza. Endelea kusimama imara, kwa sababu
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri. UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha

UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri. UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha