ntu wa dili
@yajua_700
ntu wa dili @simba sports club fun lialia!
ID: 1012365623689666560
28-06-2018 16:02:28
19,19K Tweet
1,1K Takipรงi
5,5K Takip Edilen
Fikiria MNEC wa CCM Daniel chonchorio Nyamohanga, alitekwa mchana kweupe na waliodai ni polisi leo hajulikani alipo. Kama wao wanashughulikiwa namna hiyo, Je, sisi raia wa kawaida tuko salama kweli? Hiki si chama tena, ni mtandao wa majambazi unaoshirikiana na dola kuua sauti za wanyonge.
Martin Maranja Masese Utofauti WA CDM na wengine ni kuwa watu wanaipenda kwa mapenzi ya moyoni kabisa,ila kwingine ni kupata pesa au mwamvuli WA mambo Yao basi.
Dr. Sisimizi RAIS SIYO MUNGU MTABURUZWA SANA RIPOTI YA MKAGUZI WA FEDHA ZA SERIKALI ALIBAINISHA UWIZI WA FEDHA ZA WATANZANIA UKIJUMLISHA KWA MIAKA MITANO TU NI MATRILIONI YA PESA ZA WATANZANIA MAJIZI YANAYOWAIBIA YANATAMBA MTAANI
Sia Da Vinci๐ Kwani CCM inapendwa na nani zaidi ya the gullible? Lkn Ilianza kuchukiza wakati wa jiwe. Asili ya bimkubwa dini na vitendo vyake ndio vikazidi kufurika chuki vilevile.
Privaldinho MCHANGANUO WA TWEETS ZA DIGITAL MANAGER WA YANGA KWA SIKU. Post kuhusu Simba Sc 70 Post kuhusu timu za nje ya nchi 15 Post kuhusu timu matawi ya Yanga 10 Post kuhusu waajiri wake YANGA 2 Je, huyu ni digital manager wa Simba Sc au Yanga Sc? UTAPELI WAZIWAZI ๐๐