Tegemeo Thadeo (@tthadeo40) 's Twitter Profile
Tegemeo Thadeo

@tthadeo40

ID: 699664278773723136

calendar_today16-02-2016 18:38:57

1,1K Tweet

129 Takipçi

115 Takip Edilen

Malisa GJ (@malisa_gj1) 's Twitter Profile Photo

Ngoja tuangalie jinsi wanavyozichapa watani zangu wa Young Africans SC kati ya shabiki kindaki ndaki wa kufa na kupona wa Yanga kaka Martin Maranja Masese na bwana mdogo Privaldinho Nataka tujuane,wewe upo upande gani?kam wewe ni 1. Team Martin Maranja Masese RETWEET 2. Team Privaldinho LIKE.!

Ngoja tuangalie jinsi wanavyozichapa watani zangu wa Young Africans SC kati ya shabiki  kindaki ndaki wa kufa na kupona wa Yanga kaka Martin Maranja Masese  na  bwana mdogo Privaldinho

Nataka tujuane,wewe upo upande gani?kam wewe ni

1. Team  Martin Maranja Masese  RETWEET

2. Team Privaldinho LIKE.!
Vitus Nkuna (@vitusnkuna) 's Twitter Profile Photo

Sikilizeni Watanzania amuweni na simamieni hii Nchi tupeni CHADEMA, Tuwekeeni kipimo cha miaka (5) tu, afu mtalinganisha na miaka (60) ya CCM kisha mtachagua lipi jema na lipi baya. Umasikini wetu na shida zetu kama Taifa ni matokeo ya Viongozi wa CCM. #ChademaTukoTayari.

Sikilizeni Watanzania amuweni na simamieni hii Nchi tupeni CHADEMA, Tuwekeeni  kipimo cha miaka (5) tu, afu mtalinganisha na miaka (60) ya CCM kisha mtachagua lipi jema na lipi baya.
Umasikini wetu na shida zetu kama Taifa ni matokeo ya Viongozi wa CCM.
#ChademaTukoTayari.
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Kama unataka Rais Samia Suluhu atengue uteuzi wa Jaji Biswalo Mganga na kufikishwa Mahakamani, kujibu mashtaka ya kuiba pesa za Plea bargaining #Retweet post. Huyu Biswalo ni Jambazi aliyepewa cheo na Rais.

Kama unataka Rais Samia Suluhu atengue uteuzi wa Jaji Biswalo Mganga na kufikishwa Mahakamani, kujibu mashtaka ya kuiba pesa za Plea bargaining #Retweet post.

Huyu Biswalo ni Jambazi aliyepewa cheo na Rais.
Tegemeo Thadeo (@tthadeo40) 's Twitter Profile Photo

Kila nikiwaangalia hawa watu na nikakumbuka Mteteze wa Wanyonge jinsi alivyokuwa anasifiwa nawatanzania,nagundua kwamba hili nalo litapita hivi hivi bila kwenda namtu!

Kila nikiwaangalia hawa watu na nikakumbuka Mteteze wa Wanyonge jinsi alivyokuwa anasifiwa nawatanzania,nagundua kwamba hili nalo litapita hivi hivi bila kwenda namtu!
Tegemeo Thadeo (@tthadeo40) 's Twitter Profile Photo

Wasomi wetu walio wengi uelewa wao kuhusu mambo ya Kisiasa nimdogo sana... Huwa najiuliza wanafanya makusudi au huwa wanapuuza kwa sababu wao wana ajira?.Yaani unamkuta msomi mkubwa anaongea ujinga ujinga tu mpaka unakasilika!

Tegemeo Thadeo (@tthadeo40) 's Twitter Profile Photo

TASAF na Matengenezo ya Barabara mijini na Vijijini,Bomu lingine tulitegemee kutoka kwa CAG mwakani.Huko ni wizi mtupu.. Unaweza kudhani ni Utani jinsi wanavyofukua fukua barabara eti wanatengeneza !

Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

LIST YA WANASIASA HATARI ZAIDI KWA UPANDE WA VYAMA PINZANI. 1. TUNDU LISSU Makamu M.kiti wa CHADEMA alikuwa mgombea Urais Mwaka 2020. huyu ni Bingwa wa Siasa za Kukera na Ukosoaji wa viwango vya juu mno, Katika kipingi cha utawala wa awamu ya 5 alipigwa Risasi 16 ila hakufa

LIST YA WANASIASA HATARI ZAIDI KWA UPANDE WA VYAMA PINZANI.

1. TUNDU LISSU
Makamu M.kiti wa CHADEMA alikuwa mgombea Urais Mwaka 2020. huyu ni Bingwa wa Siasa za Kukera na Ukosoaji wa viwango vya juu mno, Katika kipingi cha utawala wa awamu ya 5 alipigwa Risasi 16 ila hakufa
Ayie Tag (@tagayie) 's Twitter Profile Photo

FREE DR W SLAA FREE ADV. MWABUKUSI FREE. MDUDE. VITA IMETANGAZWA NA BAADHI YA WAKOLONI WEUSI WA BARA NA WAZENJI. PARAPANDA IMELIA KILA MTANGANYIKA AJITOKEZE KUDAI TANGANYIKA. TUWAONYESHE HAWA WAKOLONI WEUSI WA CCM NGUVU YA UMMA. WATANGANYIKA AMKENI

FREE DR W SLAA
FREE ADV. MWABUKUSI
FREE. MDUDE.
VITA IMETANGAZWA NA BAADHI YA WAKOLONI WEUSI WA BARA NA WAZENJI.
PARAPANDA IMELIA KILA MTANGANYIKA AJITOKEZE KUDAI TANGANYIKA. TUWAONYESHE HAWA WAKOLONI WEUSI WA CCM NGUVU YA UMMA. WATANGANYIKA AMKENI
Tegemeo Thadeo (@tthadeo40) 's Twitter Profile Photo

Hapa hauwezi kuwasikia wakisema tusichanganye Dini na Siasa kwa kuwa wao ndio wanufaika wakubwa. Ccm wametumia hii Propaganda miaka yote hasa wanapozidiwa hoja

Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Mbunge Wa CCM Jimbo La Sengerema Tabasamu Hamisi Anasema Watu Wameiba Pesa Za Halmashauri Zaidi Ya Bilioni 3.6 Halafu Wakaambiwa Warudishe Milioni 48 Tu Na Walioiba Hela Hizo Wamepandishwa Vyeo Na Wanaendelea Kudunda Tu Katika Ofisi Za Umma CCM Ni Janga Kwenye Hii Nchi..!!

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Aliyewapa CCM usingizi amekomoa kweli kweli , hii DP World ni wameamua kufa nayo Sioni mtu akayeweza kuiokoa tena CCM kwenye moto wa huu waraka wa TEC , miaka ya TEC ni kuhusu kufikia wananchi ni level nyingine, hata kwa kilugha watu wanaeleweshwa

Tegemeo Thadeo (@tthadeo40) 's Twitter Profile Photo

Hapa Duniani ikiwemo Tanzania yetu,Rushwa msingi wake ni HAKI yenyewe.. Rushwa ni njia ya Mkato na muda mfupi kufanikisha au kutatua jambo lako.. Haki ni Mlolongo mrefu unaokula muda mrefu kufanikisha au kutatua Jambo lako.