
Malisa GJ
@malisa_gj1
Human Rights Activist || Democratiae Defensorem || Simba SC Die Hard Fan
ID: 1432237896308768771
30-08-2021 07:05:45
5,5K Tweet
19,19K Takipçi
67 Takip Edilen

Ngoja tuangalie jinsi wanavyozichapa watani zangu wa Young Africans SC kati ya shabiki kindaki ndaki wa kufa na kupona wa Yanga kaka Martin Maranja Masese na bwana mdogo Privaldinho Nataka tujuane,wewe upo upande gani?kam wewe ni 1. Team Martin Maranja Masese RETWEET 2. Team Privaldinho LIKE.!
