Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile
Nehemiah Mboya

@mboyanehemiah

ID: 1088094541998186497

calendar_today23-01-2019 15:22:09

77 Tweet

32 Takipçi

202 Takip Edilen

Magna Carta (@magnacartavoice) 's Twitter Profile Photo

#TarimeVijijini 🔥🔥🔥 Mbunge wa Tarime Vijiji John Heche anachuana na Naibu Waziri #MwitaWaitara Like 👉🏽 Mwita Waitara Retweet 👉🏽 John Heche

#TarimeVijijini 🔥🔥🔥

Mbunge wa Tarime Vijiji <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> anachuana na Naibu Waziri #MwitaWaitara 

Like 👉🏽 Mwita Waitara 

Retweet 👉🏽 John Heche
Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile Photo

Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary Kwa maana kwake yeye sisi tunaishi, tunakwenda Na kuwa Na uzima wetu. Nawatakia baraka za MUNGU kwenye mwaka huu 2021 uwe wa furaha, mafanikio Na KUTHIBITISHWA ktk kila kazi njema

Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary Kwa maana kwake yeye sisi tunaishi, tunakwenda Na kuwa Na uzima wetu.
Nawatakia baraka za MUNGU kwenye mwaka huu 2021 uwe wa furaha, mafanikio Na KUTHIBITISHWA ktk kila kazi njema
Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile Photo

Ahsante Mh Balozi kwa kutukumbusha wosia wa baba wa taifa. Nabii wa taifa la TANZANIA mwl J Nyerere alishakufa lakini bado anaishi. Pole Sana Balozi Kagasheki kwa msiba wa aliyekuwa rais wetu. Polen watanzania wenzangu

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa. Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿-1 Naomba Retweet 🔁 na Like ❤️ za Kutosha Mpaka Ujumbe umfikie Mchoraji huyu Mahiri wa Taswira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

🇹🇿-1

Naomba Retweet 🔁 na Like ❤️ za Kutosha Mpaka Ujumbe umfikie Mchoraji huyu Mahiri wa Taswira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana Mama wa Taifa SHIKAMO! MUNGU awe nawe pia ktk majukumu mazito Hakika mama unajua kutufurahisha nasi vijana wako hatutakuangusha tutachapa KAZI Kwa uaminifu ktk kuleta maendeleo ya taifa letu. Vijana tulioaminiwa tukapewa nafasi TUACHE KUZINGUA YASIKUKUTE YA SABAYA

Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile Photo

Ahsante Sana waziri mchapa KAZI usiye na longolongo. najisikia fahari Sana MH mama wa Taifa Rais mpendwa kukuleta TAMISEMI nisaidie kumshukuru mama. na pili msalimie mama yetu uliyekaa nae. SHIKAMO MAMA mzaa chema na ahsante sana Kwa kulizalia Taifa mwana mama mchapa kazi

Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile Photo

KIJANA TAMBUA UMEPEWA NAFASI KAMA KIPIMO CHA VIJANA WENGINE UNAPOFANYA MAMBO YA HOVYO UNAWAHARIBIA MAMILION YA VIJANA WENGINE TUNAPOAMINIWA TUCHAPE KAZI KWA KUZINGATIA TARATIBU MIONGOZO NA KANUNI ILI KUWA EXPOSE WENGINE TUIGE KWA MESHACK SHEDRACK NA ABEDINEGO TUMEONYWA NA MAMA.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Ninawashukuru sana ndugu zangu. Hatimaye nimefikia watu 100,000 followers. Hii ni hatua kubwa sana ambayo imewezeshwa nanyi ndugu zangu hasa kwa ku like na ku retweet post zangu. ASANTENI SANA. Leo pia nitafollow wote watakao Retweet post hii. 👏👏👏

Ninawashukuru sana ndugu zangu. Hatimaye nimefikia watu 100,000 followers. Hii ni hatua kubwa sana ambayo imewezeshwa nanyi ndugu zangu hasa kwa ku like na ku retweet post zangu. ASANTENI SANA.

Leo pia nitafollow wote watakao Retweet post hii. 👏👏👏
Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile Photo

MUNGU WA Faraja awe Faraja kwenu kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na ndugu WA Damu BWANA aliyetoa ndiye ametwa. Poleni Sana. Pumzika Kwa amani Kaka Charles Aikaeli

Nehemiah Mboya (@mboyanehemiah) 's Twitter Profile Photo

Maandiko matakatifu yanatuambia WAZI zipimeni hizo roho lakini pia mtawatambua Kwa matendo Yao. Kipindi hiki siyo chakumuangalia ooo kiongozi wangu wa dini kasema nini. Tumuangalie MUNGU pekee wengine hawa NI wapooshaji chini ya mwavuli WA DINI

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Leo nimetimiza Followers laki moja 100K Ahsanteni sana kwa upendo huu, nimetenga masaa 9 kwa MTU yeyote atae #Retweet Post hii nitamfollow chaap, kurudisha upendo kwenu.

Leo nimetimiza Followers laki moja 100K Ahsanteni sana kwa upendo huu, nimetenga masaa 9 kwa MTU yeyote atae #Retweet Post hii nitamfollow chaap, kurudisha upendo kwenu.