Cyrus
@isackcyrus
Sports club fan: Chelsea Fc๐ and Young Africans Sc๐ฐ
ID: 2953629922
31-12-2014 19:09:51
1,1K Tweet
734 Followers
1,1K Following
Waziri pekee anae fanya kazi yake kwa weledi ulio pitiliza Dr. Dorothy Gwajima Mungu akuweke Samia Suluhu huyu sasa ndio Waziri kipenzi cha watanzania huyu sio wapinzani sio CCM watanzania wote tunamkubali una waziri huyu tu zingine zote kenge tu ๐๐๐๐
Mama Samia Suluhu, Mimi naomba kituo cha afya kilicho kijijini nikisimamie, niwape watanzania wenzagu huduma za afya wakilipia huduma hizo kwa kutumia mifugo na mazao ya biashara Katika kata hiyo, nitahamasisha ukataji wa bima za afya, watazilipia kwa mifugo na mazao pia. ๐
Mh. Rais Samia Suluhu Kwa Usikivu Na Upendo Wako Kwa Watz. Naamini Ujumbe Wangu Hukuonyeshwaga Na Wasaidizi Wako๐ Mh. Naona Ktk Mitandao Wenzetu Umewasaidia Fedha Za Mitaji, Nasi Umetusahau Kabisa! Tafadhali Mh. Unikumbuke Kama Sio Kazi Basi Nisaidiwe Mtaji Wa Biashara Rt Pls
Popular Football Clubs and their Number of Supporters Al Ahly ๐ช๐ฌ - 70 million Young Africans SC ๐น๐ฟ - 35 million Zamalek ๐ช๐ฌ - 30 million Kaizer Chiefs ๐ฟ๐ฆ - 16 million ASEC Mimosas ๐จ๐ฎ - 15 million Manchester United ๐ฌ๐ง - 1.1 billion Arsenal ๐ฌ๐ง - 630 million Chelsea ๐ฌ๐ง - 509
Most Popular Football Clubs in Africa, 2025. Al Ahly - Egypt ๐ช๐ฌ - 70 million fans Young Africans SC ๐น๐ฟ - 30M Zamalek ๐ช๐ฌ - 30M Kaizer Chiefs ๐ฟ๐ฆ - 16M ASEC Mimosas ๐จ๐ฎ - 15M Asante Kotoko ๐ฌ๐ญ - 10M Gor Mahia ๐ฐ๐ช - 10M Raja Casablanca - Morocco ๐ฒ๐ฆ - 10M Simba SC ๐น๐ฟ - 10M
KAMPALA โ๏ธ TANZANIA Allan Okello โฉ๏ธ Young Africans SC #NextProSports