Arusha Icon(@arusha_icon) 's Twitter Profileg
Arusha Icon

@arusha_icon

Allah is Great ๐Ÿ™
#UaminifuKwanzaโœ๏ธ

ID:1481222439015272451

calendar_today12-01-2022 11:12:22

89,1K Tweets

27,8K Followers

8,2K Following

kichefuchefu(@kiichefuchefu) 's Twitter Profile Photo

Ila huyu jamaa anaeigiza kama GTA 5 ni nouma sana dadeki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Cheki anachokifanya ๐Ÿ˜‚
Cheki video kwenye comment ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Ila huyu jamaa anaeigiza kama GTA 5 ni nouma sana dadeki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Cheki anachokifanya ๐Ÿ˜‚ Cheki video kwenye comment ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
account_circle
Lil_Dee๐Ÿ˜…(@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

Ilikuwa ni majira saa sita kasoro usiku mitaa ya Tabata, ndani ya baa moja inayopiga mziki mkubwa huku watu wakifurahi na kulewa.

Mudi alikuwa amekaa kaunta akiendelea kupata moja moto moja baridi.

Gafla alimwangalia mtu aliyekuwa amekaa karibu yake na kusema, 'Habari,

Ilikuwa ni majira saa sita kasoro usiku mitaa ya Tabata, ndani ya baa moja inayopiga mziki mkubwa huku watu wakifurahi na kulewa. Mudi alikuwa amekaa kaunta akiendelea kupata moja moto moja baridi. Gafla alimwangalia mtu aliyekuwa amekaa karibu yake na kusema, 'Habari,
account_circle
YUSUPH(@Yuzo2fa8) 's Twitter Profile Photo

Nikiskia watu wakisema kua gari lilo nigonga ni gari la diamond na yeye ndie dereva ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nikiskia watu wakisema kua gari lilo nigonga ni gari la diamond na yeye ndie dereva ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
account_circle
kichefuchefu(@kiichefuchefu) 's Twitter Profile Photo

Ila hii singeli ni nouma sana cheki jamaa anavyopiga mistari ya hatari ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Cheki video kweny comment ๐Ÿ‘‡

Ila hii singeli ni nouma sana cheki jamaa anavyopiga mistari ya hatari ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Cheki video kweny comment ๐Ÿ‘‡
account_circle