Zuwena Khatib
@zuwenakhatib
agroecology is the way to go. agroecology is the solution for climate change
ID: 1184703046363824129
17-10-2019 05:30:20
60,60K Tweet
3,3K Followers
570 Following
One girl one bike Ni moja ya initiatives bora za Msichana Initiative ndani ya miaka 10 zilizojikita kuhakikisha changamoto za umbali wa shule hazikwamishi ndoto za wasichana. #MsichanaCentre #NdotoYaMsichana
Miaka Kumi ya kubadilisha maisha ya wasichana . Hongereni sana Msichana Initiative
Msichana Initiative wana ndoto nyingi ili kuhakikisha mtoto wa kike anaepitia changamoto za ukatili wa aina yoyote anatimiza ndoto zake mfano kupata Elimu na Ujuzi Taasisi hii imedhamiria kuboresha maisha ya wasichana wengi kupitia ujenzi wa #MsichanaCentre pale Kiromo Bagamoyo.
Hawa Msichana Initiative wamefanya mengi na sasa mwaka wa kumi wanajenga Msichana Centre pale Bagamoyo kiromo na wewe na mimi tunaweza kuchangia ujenzi huu kwa +255 754 251 022 jina Msichana Initiative #NdotoYaMsichana #MsichanaCentre
Lengo kubwa la aasisi ya Msichana Initiative ni kuhakikisha wasichana ambao ni manusura wa ukatili ikiwemo vipigo, Ngono,Mimba za utotoni, na Ukeketaji wanakua mahali sahihi pa kupata Elimu na Ujuzi! Changia ujenzi wa jengo hili 0754251022 #MsichanaCentre ili uokoe mamia ya wasichana