general wambui
@gomanokelv61805
a farmer
ID: 1821126352717660160
07-08-2024 10:09:30
12 Tweet
16 Followers
202 Following
Nimejulishwa kwamba wewe Samia Suluhu unataka roho yangu. Nimepewa taarifa kwamba umeagiza mimi na Lema tuuawe mimi nawasubiri hao wauwaji wako. Sitakimbia nchi kama ambavyo sikumkimbia mtangulizi wako Magufuli nitakukabili nchi hii ni mali ya wananchi wala sio mali yako.
Nyie tunaomba kujua msimamo wenu kesho. Mpo na sisi wananchi kuripoti maandamano yetu au mpo upande wa jeshi la polisi? Tunataka tujuane mapema.🤝 WasafiTv Crown Media Azam TV Clouds Media