Republican Gozer
@ghwankajha
|Muumini mzuri wa dini | Mtembezi |Mjasiliamali | Mwanademocrasia &
Mpenda amani| Mshabiki wa mpira|
ID: 1764410677752377344
03-03-2024 22:04:09
3,3K Tweet
48 Followers
19 Following
Mwanaharakati Mhe. Maria Sarungi Tsehai atakuwepo katika Baraza la Kidigitali ambalo litajadili mwaka mmoja tangu kukamatwa kwa Mhe. Tundu Antiphas Lissu katika Wilaya ya Mbinga kwa tuhuma za uhaini. Mgeni Rasmi katika kumbukizi hiyo atakuwa Katibu Mkuu wa The ODM Party Mhe. Edwin Sifuna.