INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile
INDICA 360πŸ₯‡

@abraha1brighton

BOLD πŸ—οΈ

MANENO MKUKI HEKIMA NGAO

( MY DREAM IS COMING.... ) #KIJIWE_NONGWA πŸ’ MUNGU AKOSEI🀝. youtube.com/@abraham_offic…

ID: 1500783061763514368

calendar_today07-03-2022 10:42:37

11,11K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

FREE LISSU. (@esterka_su_ku) 's Twitter Profile Photo

TAFAKURI:Banjoo alitekwa kisha kuuawa zikaja story nyingi sana kwamba Banjoo ni jambazi,sawa tukubali Banjoo alikuwa muhalifu je,alistahili kuuawa bila mahakama kuthibitisha uhalifu wake?. Chawa wanaosukuma kete kwamba Banjoo hafai alistahili kifo mnavidhalilisha vyombo husika.

INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

RAISI wa NCHI Wananchi wako Wana uwawa Yeye Yupo kimya hakuna hata tamko Analo toa Hana utofauti. ( mkunzinza ). Pumbavu kweli Shida Moja nchi wanaiyona yao

INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

Kuna Jamaa yangu anaipenda sana CCM nimevunja nae urafiki kwasababu za kuisalama maana kuuwa wao hawaoni shinda CCM ni Hatari mpk wafwasi wake wauwaji

INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

Mke wangu, watoto wangu siwezi kuwaweka Public hata kama Mimi kwenye mitandao nafamika Familia yangu lazima niilinde kwa Spana hizi ninazo piga Government Wanaweza kuniulia familia Yangu Uwo ujinga hata wewe mwana harakati ficha familia yako !!!

INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

watu 500 Si nikijiji kizima wanaongea kama Hawana meno midomoni Au wanaona niwatu wacheche maana wamezoea kuuwa Tunaongozwa na vilaza One day NCHI itakombolewa Mchana kweupe

INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

Hivi mnajua Mama kizimkazi Jeuri yake ipo kwa MAKONDA siku janja akija kuwekwa mtu kati mama kizimkazi Anakimbia bila Kanga kwenda Zenji

INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

Ikulu inanuka Damu, ngono, Kuna pombe Za Kila Aina ikulu mama yenu time nyingi Yupo kibati. Maana zile Damu wa Ndugu zetu Zina mshtua kama mizmu

INDICA 360πŸ₯‡ (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

Nchigani Kila mmoja Naogopa Kuzungumzia Mauwaji ya October 29 wote Wanalia kimoyo moyo Afu mnasema NCHI ipo salama watu Wana maumivu ipo siku Mtakuja kupigwa Mawe na WANANCHI si mnawaona Mafala

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kwamba hapa ni Gaza, na waliopigwa risasi ni kwakuwa walilipwa na kufunzwa kuandamana? Time for truth and accountability shall come!!