Snt.A.J.Biswaro
@gen_pres
Mwanasheria mbobezi wa sheria za Kimataifa za Mwenendo wa Makosa ya Jinai na Haki za Binaadamu (a concerned Citizen of Tabzania)
ID: 1217793427561160704
16-01-2020 13:00:38
118 Tweet
62 Followers
849 Following
Pay attention to the peasant , treat him as God’ because he is the producer of food for the majority of the population of any country in Africa - Mwalimu Julius Nyerere Kan Madara Nyerere Foundation Frank K Tumwebaze,MP: Isaiah 41: 11 MAAIF 🇺🇬
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Dr. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi, Dkt. Dr. Lazarus Chakwera (katikati) na Spika wa Bunge la Malawi Catherine Gotani Hara (kulia) walipokutana jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Lilongwe Malawi.
📍Ikulu, Chamwino 🚨 U T E U Z I 🔹Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya 07 na kuwahamisha vituo vya kazi Makatibu Tawala wa Mikoa 10 na wengine 09 kubakia kwenye vituo vyao. 📃: IKULU
President of the United Republic of Tanzania; Her Excellency Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🇹🇿 Samia Suluhu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa Maji wa Makongolosi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022. zuhura yunus