Goodluck, G. H. (@g_gchelsea) 's Twitter Profile
Goodluck, G. H.

@g_gchelsea

“The pessimist complains about the wind; the optimist expects it to change; the realist adjusts the sails”(Ward, 1921-1994).

ID: 1596718411

calendar_today15-07-2013 20:30:57

6,6K Tweet

684 Takipçi

401 Takip Edilen

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Oyaaaaa January Makamba Huku Mtaani Kwangu Ubungo Makuburi Kuna Jamaa anakampuni ya Kukodisha Cranes inaitwa raphaellogistics ana Cranes Mpaka za Tani 75 Wewe Unasema Crane za Tani 26 Mpaka Zitoke Nje.? Nje Wapi..? Upo Serious au Kuna Upigaji hapo tukaushe..?

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia,Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe.Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH.Ndugai ni mzigo mzito sana katika Nchi.

Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia,Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe.Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH.Ndugai ni mzigo mzito sana katika Nchi.
SK Media East Africa (@ngurumo) 's Twitter Profile Photo

😆😆😆😆 Ni kweli, ila angekuwa na heshima zaidi iwapo asingeomba radhi jana! Unafiki ni jambo baya. Sasa msamaha umekataliwa hadharani. Bado nacheka tu!!!

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Yusuf Makamba amesema anasimama na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu na kutaka aheshimiwe. “Akidhihakiwa, sote tunaumia.” - Mzee Yusuf Makamba

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

UKISHASEMA kwa yeyote niliyemkosea naomba anisamehe; hapo hujaomba msamaha. Ukisema, KAMA NIMEKOSA, naomba msamaha; hujaomba msamaha. Unapoomba kusamehewa, taja kosa na uliyemkosea. Na usizunguke sana.

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Haya sisi tusieelewa SIASA tulimshauri SSH, “Don’t use the criminal justice system to even political scores. You will create MATYRS”. 🤷🏽‍♀️ Haya …… Sasa mnaona? Mfumo wa JINAI ni kwa watu alietenda makosa ya JINAI si wakuutumia kuwafix wanasiasa wenzako! It has always BACKFIRED.

Goodluck, G. H. (@g_gchelsea) 's Twitter Profile Photo

Kwamba ubunge ulioomba wananchi wakakupa kwa Imani, ni kitu superficial tuu??? 🤔🤔🤔🤔. This PhD in town jamaniiiii!!!! 😳😳😳

Goodluck, G. H. (@g_gchelsea) 's Twitter Profile Photo

Kwangu naoana Safi sana. Bora bakora ajirekebishe kuliko akalale polis, mpoteze muda mahakaman na kusimamisha uzalishaji, alafu aje afungwe miezi 6.