Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profileg
Fred Kavishe

@fredkavishe

Building Capital Digital | Digital Consultant | @TOTBonanza Coordinator | Jogger

ID:277054151

calendar_today04-04-2011 16:15:58

126,3K Tweets

55,5K Followers

1,1K Following

Follow People
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Hapa nasema malezi wazazi wa kike wanavutia watoto upande wa kwao so mnakuwa close huko.

Wazazi wa kiume unakuta ndugu hata hawafiki nyumbani watakuwa support vipi??

account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Usiku wa ulaya unarudi tena ndani ya DStv (TZ) ni mwendo wa burudani mwanzo mwisho. Leo ni mabingwa wa kihistoria dhidi ya Bayern ambayo inajitafuta msimu huu Je nani kuibuka na ushindi kwenye mchezo huu??

Lipia kifurushi chako mapema usipitwe na uhondo huu.

Usiku wa ulaya unarudi tena ndani ya @DStv_Tz ni mwendo wa burudani mwanzo mwisho. Leo ni mabingwa wa kihistoria dhidi ya Bayern ambayo inajitafuta msimu huu Je nani kuibuka na ushindi kwenye mchezo huu?? Lipia kifurushi chako mapema usipitwe na uhondo huu. #MfalmeWaBoma
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Usipishane na Bodaboda๐Ÿ๏ธ au Bajaji๐Ÿ›บ, huna haja ya kwenda ofisi za serikali kulipa TRA, Maji๐Ÿ’ฆ au fain. Fungua SimBanking๐Ÿ“ฒ, cheki step tulizokuwekea bure.


account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

hii nyimbo ya Ney wa Mitego Bachela
'Michango tutachanga kwenye harusi tutakuja chakula tutakula,na pombe tutalewa' ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

account_circle
Sally Brown๐ŸŒท(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Tukiachana na yote yalinikuta jana ila CRDB ni swahiba la maana .

Msikilize Mkuu wa Kitengo cha Kadi ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na wa Kati, Ndugu Farid Seif, akikupa onja onja za huduma zitakazonufaisha wajasiriamali wa mtandaoni.

account_circle
KIPEPE ๐Ÿ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Mwisho wa mwezi umewadia Sasa washindi wa pikipiki na bajaji kutangazwa endelea kulipa bill za maji,umeme malipo ya serikali kupitia ujishindie zawadi hizi

account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Kinondoni Road ( kabla ya junction ya kwenda salenda) karibu na Stanbic bank. Kuna OFFER Kwa wateja 50 wa kwanza. Unakwama wapi?๐Ÿ˜ƒ

Kinondoni Road ( kabla ya junction ya kwenda salenda) karibu na Stanbic bank. Kuna OFFER Kwa wateja 50 wa kwanza. Unakwama wapi?๐Ÿ˜ƒ #EngenKinondoni
account_circle
ILHAM ๐Ÿ–ค(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Najua unaelekea kazini sikia hii kubwa wateja 50 wa kwanza kupitia kituo kipya Cha Engen kinondoni watapata ofa kabambe nyongeza ya mafuta na zawadi kemkem kutoka Circle K

Najua unaelekea kazini sikia hii kubwa wateja 50 wa kwanza kupitia kituo kipya Cha Engen kinondoni watapata ofa kabambe nyongeza ya mafuta na zawadi kemkem kutoka Circle K #EngenKinondoni
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mwisho wa mwezi CRDB hawakuachi hivi hivi

Washindi wa Bodaboda mkae tayari washa simu ikiita pokea kama umefanya miamala ya kutosha kwa Simbanking unapewa ikiwa full tank

Mwisho wa mwezi CRDB hawakuachi hivi hivi Washindi wa Bodaboda mkae tayari washa simu ikiita pokea kama umefanya miamala ya kutosha kwa Simbanking unapewa ikiwa full tank #BenkiNiSimbanking #SwahibaLanguLako
account_circle