
Felix Sanka
@felixsanka
Freedom Fighter
ID: 1527943191684698114
21-05-2022 09:24:22
22,22K Tweet
557 Followers
233 Following




‼️🚨EU PARLIAMENT TO DISCUSS TANZANIA TODAY🚨‼️ Leo #Tanzania inajadiliwa Bunge la Ulaya kuhusu hali ya haki za binadamu Possi sijui atakuwepo? Amejipanga!? 😁 Yaani mwaka huu ni bampa to bampa! Acheni kushupaza shingo Samia Suluhu Kumbukeni tutabanana until y’all


“Mheshimiwa umeambiwa kwamba naomba huruma ya Mahakama. Mimi siombi huruma ya Mahakama. Siombi, sijaomba na sitaomba. Ninachotaka, utaratibu wa Mahakama usichezewe. Mawakili wa Serikali na DPP wanachezea utaratibu wa Mahakama. Tundu Antiphas Lissu Chadema Tanzania chairman


"Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari za upande wa Jamuhuri kuomba hairisho kila siku”-; Mhe. Tundu Antiphas Lissu




🔥QUOTE OF THE DAY‼️ Tundu Antiphas Lissu “Mimi siyo aina ya watu ambao wataomba huruma ya Mahakama, kwa sababu nasimamia ninachoamini kuwa ni kweli. Wanaomba huruma ya Mahakama ni wenye hatia.” "I am not the kind of person who will beg for mercy from the Court, because I stand for



Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Hii yenyew tuna kazi kubwa sana ya kujifunza Kwa Tundu Antiphas Lissu kuhusu misimamo thabiti na yenye kutoyumbishwa no matter tunapitishwa katika magumu kiasi gani. That is real activism and struggle katika justice.





Godbless E.J. Lema Wanatarakia Lissu atapiga magoti kuomba msamaha. Aombe msamaha kwa Kosa gani alilotenda? Uhaini? Uhaini wa Kutendwa na Mtu Mmoja? it's a World's FIRST. kesi ya kwanza duniani ya aina hii. toka enzi za akina Adolf Hitler na Mussolini.



Jebra Kambole Kila mtu atafikiwa ni swala la muda tu.