Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile
Hilda Newton

@hildanewton21

Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045

ID: 2673303382

calendar_today04-07-2014 21:16:48

289,289K Tweet

924,924K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Hakimu Kiswaga anakiri kwamba Hoja zote za Mhe. Lissu zinamashiko lakini mwisho wa siku ameamua kuungana na Serikali amekubali ombi la kuhairisha kesi hadi Julai 30, 2025. Itoshe kusema kwamba Hakimu Kiswaga amefunga ndoa na Serikali ya Idd Amin Mama ndo maana hafuati sheria

Hakimu Kiswaga anakiri kwamba Hoja zote za Mhe. Lissu zinamashiko lakini mwisho wa siku ameamua kuungana na Serikali amekubali ombi la kuhairisha kesi hadi Julai 30, 2025.

Itoshe kusema kwamba Hakimu Kiswaga amefunga ndoa na Serikali ya Idd Amin Mama ndo maana hafuati sheria