Dr. Isaya Febu (@febu_isaya) 's Twitter Profile
Dr. Isaya Febu

@febu_isaya

Tunawasaidia wanaume na wanawake kutatua changamoto za afya ya uzazi kwa kutumia virutubisho.

ID: 1442891993382801412

linkhttps://isayafebu.com/ calendar_today28-09-2021 16:41:39

4,4K Tweet

596 Followers

266 Following

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu kuna muda Mwanamke atakupostia location kali Masaki, atakupostia chakula kizuri anachokula hotel moja Mbezi Beach, atakupostia tiketi ya Ndege na vacation yake Dubai, huo mtego usiingie ili ukidhi kiwango na hadhi yake, wengi wameupata Umaskini na kupoteza dira ili

Dr. Mlaluko, MD (@drmlalukomd) 's Twitter Profile Photo

#TAFITI: NGURUWE KULISHWA DAWA ZA KUFIFISHA MAKALI YA VVU/UKIMWI. • Nyama ya nguruwe imekutwa na kiwango kikubwa cha dawa hizo, hasa dawa iitwayo LAMIVUDINE. • Pia, Broilers wamekutwa na kiwango kidogo cha dawa hizo • Hii inaweza kuchangia usugu wa virusi dhidi ya dawa( ARV)

#TAFITI: NGURUWE KULISHWA DAWA ZA KUFIFISHA MAKALI YA VVU/UKIMWI.

• Nyama ya nguruwe imekutwa na kiwango kikubwa cha dawa hizo, hasa dawa iitwayo LAMIVUDINE.
• Pia, Broilers wamekutwa na kiwango kidogo cha dawa hizo 
• Hii inaweza kuchangia usugu wa virusi dhidi ya dawa( ARV)
Bonge La Afya (@bongelaafya) 's Twitter Profile Photo

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umebaini matumizi yasiyo sahihi ya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARVs) katika ufugaji wa kuku na nguruwe nchini Tanzania. Matumizi haya yameibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

MUNGU akukutanishe na akuunganishe na watu sahihi watakao kuwa sehemu ya kukusogeza kwenye Mafanikio yako. Watu watakao kunoa na kukufanya uwe bora zaidi, watu watakao kujenga na sio kukubomoa, watu watakao kueleza ukweli na kukuinua wala sio kukushusha chini. Tuseme Amen

AMRI IFX (@amrisaly) 's Twitter Profile Photo

“Either wewe ni mwizi au umerithi otherwise ni ngumu kupata pesa ukiwa kijana” hiki ndio kitu kilichopo kwenye akili za wengi, Ukweli unaoumiza ni kwamba pesa haina urafiki, undugu wala uhusiano na ujana au uzee na watu wengi hawatofikia level ya kuwa financially free hata

“Either wewe ni mwizi au umerithi otherwise ni ngumu kupata pesa ukiwa kijana” hiki ndio kitu kilichopo kwenye akili za wengi, 

Ukweli unaoumiza ni kwamba pesa haina urafiki, undugu wala uhusiano na ujana au uzee

na watu wengi hawatofikia level ya kuwa financially free hata
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Tunaendelea na Kampeni ya kuondoa watoto waishio mtaani na kudhibiti wengine kuondoka nyumbani kwenda kuishi na kufanya kazi mtaani. Repost tafadhali, ongezea uelewa, okoa mtoto... ✍🏻

Tunaendelea na Kampeni ya kuondoa watoto waishio mtaani na kudhibiti wengine kuondoka nyumbani kwenda kuishi na kufanya kazi mtaani. Repost tafadhali, ongezea uelewa, okoa mtoto... ✍🏻
Quantum_Network (@quantum_ats) 's Twitter Profile Photo

🚀 ATU is about to usher in a major update, can you guess what it is? Dear ATU community members A moment that can change the rules of the game is coming🔮 In 2 days (April 29), we will unveil a major plan that will shake the global ecosystem 🤔 Can you guess what it is?

🚀 ATU is about to usher in a major update, can you guess what it is?

Dear ATU community members

A moment that can change the rules of the game is coming🔮
In 2 days (April 29), we will unveil a major plan that will shake the global ecosystem

🤔 Can you guess what it is?
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama walizopata wengine. Nyumbani, tulikokulia, nako maelekezo mengi yalilenga kutulinganisha

Prince Fynn (@prince_fynnz) 's Twitter Profile Photo

MENSTRUAL CYCLE AND OVULATION PERIOD!! Most ladies don't understand this because of much heavy grammar used to teach it, and we don't listen to our body too. Pls read, start listening to your body for signs and follow the simple analysis/steps for ease of getting pregnant.....

MENSTRUAL CYCLE AND OVULATION PERIOD!!

Most ladies don't understand this because of much heavy grammar used to teach it, and we don't listen to our body too. Pls read, start listening to your body for signs and follow the simple analysis/steps for ease of getting pregnant.....
THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Usikubali kujifunza na kuishia kuwa na maarifa tu, utaishia kuwa mpumbavu. Hakikisha kujifunza kwako kuongozwe na vitendo, ndipo unaweza kuwa tajiri Maarifa bila vitendo ni mzigo kichwani, lakini hayo maarifa yakigeuka kuwa vitendo huzaa utajiri wa kweli Jifunze—>Chukua hatua

Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

👶Post chini ina Mtoto wa miezi 4 aliye na dalili kama: •Kukosa choo (constipation) •Kutokula vizuri (poor feeding) •Udhaifu wa misuli (hypotonia) •Kilio dhaifu (weak cry) •Historia ya kula asali hivi karibuni ⚠️ Hali hii inajulikana kama botulism ya watoto wachanga,

SOTTES (@joesottes) 's Twitter Profile Photo

Mzee wangu alisoma mpaka masters, akapata kazi miaka miwili tu kazini, akaacha akaenda kujiajiri. Nilivyomaliza form IV mzee alinikalisha chini akawa ananiambia kila kitu kuhusu elimu. Kwanza kabisa aliniuliza nikupe mtaji ukafanye issue zako au unataka kwenda form V? Uzi 🧵

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Uzuri wa kiburi ni namna kinavyokuandalia anguko lako kwa ustadi mkubwa. Kwanza, kinakujaza ujasiri uamini wewe ni mtu mwenye akili zisizo za kawaida, unaona wasichoona watu wote na kisha kinakufumba macho usiuone ukweli unaouhitaji kwa kukuletea watu waliobobea kukusifu kama

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kuna kizazi tunaendelea kukitengeneza cha watu wanaochoshwa na upendo. Hiki ni kizazi kilichozaliwa na kizazi cha wazazi wasomi, wenye pesa, wasio na muda wa kupenda —kupatikana kihisia, kuzungumza, kusikiliza, kuhusiana, kujali na kadhalika. Tunatumia vitu kuziba ombwe la

𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Hii ni expirience. 1. Hakuna mtu anayejali kuhusu wewe. HAKUNA, Iwe rafiki, mpenzi, ndugu au mshikaji mpaka pale ambapo kuna kitu kinathamani kutoka kwako kwenda kwake (Pesa, Chakula au Chochote). 2. Marafiki wengi ni wa muda tu, ni dakika chache tu wanakugeuka (Siku Ukikosa,