
Peter temba
@peter80865270
Temba
ID: 1450867563395747847
20-10-2021 16:53:09
13,13K Tweet
584 Followers
1,1K Following

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, siku ya Alhamisi, tarehe 7 Desemba 2023, atafanya ziara mkoani Manyara, wilaya ya Hanang kutembelea wahanga wa tukio la mafuriko ili kutoa pole na faraja kwa familia zilizokumbwa na janga hili. Katika


(ππ¦πππ§ππ’π€π°π ππ ππ¨πππ¨ πππ¦πππ€) MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anatarajia kufanya ziara katika Wilaya ya Hanang mkoani Manyara yenye lengo la kutoa pole na faraja kwa familia zilizokumbwa na janga la mafuriko. Katika






Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa Rais Phillip Mpango sasa! bbc.com/news/world-afrβ¦



βΌοΈHappy Independence Day TANGANYIKA βΌοΈ FYI international media and community and Google today is the independence day of Tanganyika - in 1961 there was no TanzaniaβΌοΈ #Fact Tanzania is the Union of Tanganyika and Zanzibar in 1964 so what we celebrate as a union is Union Day in



βΌοΈNawapa siri βΌοΈ Hawasemi nchi gani alikuwepo Dr Mpango kwa sababu tutaenda kupitia media za kimataifa kama BBC News Africa kutafuta maelezo kutoka serikali husika watueleze alikuwa hapo kwa kazi gani! Hamtakaa kujibiwa hilo π Ndo mjue βkeleleβ zetu zina mantiki #TutaelewanaTu






Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Joseph Moses Oleshangay, ametunukiwa Tuzo ya Haki za Binaadamu ya mji wa Weimar nchini Ujerumani. Joseph Oleshangay ametunikiwa tuzo hilo kutokana na juhudi zake za kutetea jamii ya wamasai ambao kwa muda wamehangaishwa

