
Lembrus Mchome
@lembrusmchome
Mwenyekiti Mstaafu Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro.
katibu chadema wilaya ya Mwanga.
Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha.
Mtetezi na mpenda Haki
ID: 1271441043993616384
12-06-2020 13:55:57
4,4K Tweet
24,24K Followers
943 Following

Godbless E.J. Lema kaka nomepishana na wewe hapa 519 street nimekuita umenukaushia ! Umemuacha Mwenyekiti na Kesi ya Mchongo ? Vipi tunazuia Uchaguzi au tunasusa? Goodnight



Hongera sana kaka Patrick John Assenga kwa kutia nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Moshi mjini kupitia chama chako CHAUMMA Tanzania ikawe heri kwako na team nzima. Uchaguzi ni sera na siasa safi ambazo zitadumisha undugu wetu.


Siasa nzuri na yenye tija hujikita katika ujenzi bora wa hoja zenye tija na mashiko ambazo hujibu hoja za mpinzania wako, siasa za matusi kejeli na chuki ni kulimiza taifa na hizo ndio zimeigharimu Chadema Tanzania na kuifikisha hapa ilipo. Tuwaze zaidi katika kuiondoa ccm madarakani.

Kumuona Polepole hero ni kujizima data, akiwa mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi ndio wakati demokrasia ya taifa letu ilipokwa kuliko wakati wowote,watu walipotea,kesi za kubambikizwa,wizi wa Mali za umma,kwenye chama chake form ilikua moja. Huo ushujaa mnaompa leo ameutolea wap?.

Huwezi kupeleka muswaada bungeni bila hiki kikao.Tunaedelea kùdanganyana kwamba Chadema Tanzania tuna nafasi ya kushiriki uchaguzi kwamba reforms zitafanyika?.Sasa rasim Chadema hatutashiriki uchaguzi wa mwaka huu.Tulishauri wakubwa wakapuuzia haya ndio matunda.Maccm hayaogopi kelele



Kuna taarifa zinasambazwa mtandaoni kwamba nimeshambuliwa na vijana wa Chadema Tanzania kwenye mazishi ya rafiki yangu Albert naomba zipuuzwe hakuna fujo yeyote nliyofanyiwa chama chetu hakijafikia huo ujinga. Mimi nipo salama na tumemaliza salama kumpumzisha Albert.


Tar 29/10 watanzania wanakwenda kupiga kura za ama-kuiondoa ccm madarakani au kuanza safari ya miaka mitano tena ya maumivu. Chadema Tanzania tumewakosea sana watanzania kwa kutoshiriki uchaguzi huu. Nilisema hatuwezi kuzuia uchaguzi sasa maccm yanakwenda kupita kilain kabisa.



Nimemsikiliza Lumola Steven Kahumbi ameelezea vema kuhusu utamaduni mpya ulioingia Chadema Tanzania wa matusi. Taasisi hii ilijengwa katika misingi ya hoja kwa hoja lakin kwa bahati mbaya watu waliopo kwenye project wameajiri vijana kazi kutukana tu badala ya kujenga hoja zenye mashiko.


Asanten CHAUMMA Tanzania kwa mwaliko na mapokezi mazuri. Sinaugomvi na nyie kwakua yapo maisha nje ya siasa. Nawatakia kila la heri kwenye uchaguzi wa October ni muhimu kujua adui tunayepambana naye ni ccm.


"Kwa hatua ya sasa niseme jambo moja, NIMEPOKEA!! Nimepokea kwa heshima kubwa, nimepokea kwa unyenyekevu mkubwa na nimepokea kwa Imani kubwa ya kwamba sio mimi bali ni kauli na maono ya wengi." - Salum Mwalimu, Mgombea Urais- CHAUMMA #UwakilishiMakini | #Chaumma2025 CHAUMMA Tanzania


Nimeshiriki mkutano wa CHAUMMA Tanzania leo sijamuona Freeman Mbowe akijiunga na Chaumma kama mashujaa wetu wa mtandaoni walivotuaminisha. Ni muhimu sana kuacha ramli chonganishi

Mwaka 1995 Chadema Tanzania hatukusimamisha mgombea wa nafais ya Urais wa JMT na tukamuunga mkono Agustino Mrema (NCCR) kwakua mwaka huu hatushiriki uchaguzi na watanzania wanataka mabadiliko sio vibaya tukamuunga mkono Salum Mwalim ili kuiondoa Chama Cha Mapinduzi madarakani. Tumwamini.

