
Lembrus Mchome
@lembrusmchome
Mwenyekiti Mstaafu Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro.
katibu chadema wilaya ya Mwanga.
Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha.
Mtetezi na mpenda Haki
ID: 1271441043993616384
12-06-2020 13:55:57
4,4K Tweet
24,24K Followers
943 Following

Kuna taarifa zinasambazwa mtandaoni kwamba nimeshambuliwa na vijana wa Chadema Tanzania kwenye mazishi ya rafiki yangu Albert naomba zipuuzwe hakuna fujo yeyote nliyofanyiwa chama chetu hakijafikia huo ujinga. Mimi nipo salama na tumemaliza salama kumpumzisha Albert.