Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profileg
Patrick John Assenga

@PatrickJAssenga

Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea |
Mgombea Ubunge Rombo 2020 |
Diwani Tabata 2015-2020 |

ID:1304450959205072898

calendar_today11-09-2020 16:06:10

9,2K Tweets

66,4K Followers

1,6K Following

Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Kimsingi UMASIKINI wa TAIFA hili sio mpango wa MUNGU, Bali UMASIKINI wa TAIFA hili unatengenezwa na haya Majizi ya CCM yaliyoko madarakani. CCM haipaswi kuendelea kuongoza tena NCHI yetu.

account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Kwa CCM mnavyoijua unafikiri hapa wamepiga Kissi gani.??? Fikiria saivi hawataki kuandikisha upya wapiga kura, na badala yake wanakuja na vihoja vya kwamba wanaboresha upya daftari la wapiga kura na watatoa muda mfupi sana ili WATANZANIA wengi wasipate fursa ya kupiga kura.

Kwamba CCM haiendeshi tena NCHI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA. Na badala yake sasa wametangaza hadharani kwamba wao ndio wanaoteka wakosoaji wao. Kumbe ndio maana POLISI hawataki kuchunguza waliompiga Risasi Mh Tundu Antiphas Lissu wala kupotea kwa watu wengi akiwemo Ben saa nane.

account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

*“Wajumbe wa hiyo wanayoiita TUME HURU hawapo huru, na hawapo huru kwasababu wanawajibika kwa aliyewateua, aliyewateua anaweza akawafukuza kazi” Mhe. Tundu Antipas Lissu*

Huu uchafu wa serekali ya CCM tutaupinga hadharani kabla hatujashiriki uchaguzi Mkuu hapo mwakani. RAIS Samia Suluhu hizi ni njama zako za kutaka kusalia madarakani kwa uchaguzi wa kiinimacho. HATUTAKUBALI

Huu uchafu wa serekali ya CCM tutaupinga hadharani kabla hatujashiriki uchaguzi Mkuu hapo mwakani. RAIS @SuluhuSamia hizi ni njama zako za kutaka kusalia madarakani kwa uchaguzi wa kiinimacho. HATUTAKUBALI
account_circle
FRV. Gaspar E. Temba(@ItsTemba) 's Twitter Profile Photo

“Rais Samia Nchi Imekushinda Mabango Mengi kuliko mafanikio, NHIF=0, NSSF=Kilio.”
“Chawa wengi kuliko mafanikio”

Maneno haya yameandikwa katika Daraja maeneo ya Kibamba along Morogoro Road, DAR.

Neno moja kwa aliefanya hivyo….

“Rais Samia Nchi Imekushinda Mabango Mengi kuliko mafanikio, NHIF=0, NSSF=Kilio.” “Chawa wengi kuliko mafanikio” Maneno haya yameandikwa katika Daraja maeneo ya Kibamba along Morogoro Road, DAR. Neno moja kwa aliefanya hivyo….
account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Kaimu M'kiti wa baraza la wanawake wa CHADEMA Taifa Mhe.Sharifa Suleiman atuma salaam za Eid Mubarak kwa Waislamu wote nchini.```

account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Kimsingi Kuna watu walimsanua MAMA vinginevyo hali ingekua mbaya zaidi kwa CHAMA chenu..... Hata kakosea zaidi kukupeleka kwenye jiji la kiutalii Arusha. Hapa tunaenda kupoteza watalii wote wanaotokea America na ulaya kwa ujumla. Makonda ulipaswa kua JELA na sio serekalini.

Apatikane akiwa hai, vinginevyo serekali ya CCM mtawajibika.....maana mnalitunia jeshi kufanya KAZI za kihuni ikiwemo kuteka WAPINZANI. Mtaidumbukiza NCHI kwenye machafuko na maandamano yasiyo na ukomo kama hamtaachaa huu uhuni mnaotufanyia.

Dedan Chacha Wangwe(@DedanWangwe) 's Twitter Profile Photo

Nitakuwa Kiongozi wa Jamii, na Si tu Kiongozi wa Vijana wa CHADEMA. Mwenyezi MUNGU atufanyie wepesi ili tuweze Kushirikiana katika kuijenga Ilala na Tanzania yetu.

account_circle
FRV. Gaspar E. Temba(@ItsTemba) 's Twitter Profile Photo

Kutumia Mabilioni ya Kodi za Watanzania kuzungusha Kibatari Rombo nzima na Tanzania Kuzindua mabango ya kauli mbiu na kugawa vyandarua ni maajabu yanayowezwa kufanywa na mtu asie na akilii pekee.

Sasa Basi, Tukipewa nchi tutazima hichi kibatari na kukipeleka makumbusho ya Taifa.

Kutumia Mabilioni ya Kodi za Watanzania kuzungusha Kibatari Rombo nzima na Tanzania Kuzindua mabango ya kauli mbiu na kugawa vyandarua ni maajabu yanayowezwa kufanywa na mtu asie na akilii pekee. Sasa Basi, Tukipewa nchi tutazima hichi kibatari na kukipeleka makumbusho ya Taifa.
account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

CCM ni kama haina tena watu maana au wenye sifa na uwezo wa kuongoza hizi nafasi nyeti za kiserekari.... kimsingi tutegemee zaidi wahalifu wa CHAMA hicho kupewa nafasi zaidi hasa nyakati hizi za kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwakani.