PAULO HERMMES MUNA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’Žโš–๏ธ (@hermespaulsen) 's Twitter Profile
PAULO HERMMES MUNA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’Žโš–๏ธ

@hermespaulsen

UDSM ALUMNUS|DIGNITY|LOVE|PATRIOT|CHARISMATIC LEADERSHIP & CHANGE ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ|CONSERVATIVE DEMOCRAT|FAMILY|SON|DAD|REBORN|DIAMONDS' BENEFITS RESEARCH|TANGANYIKA!!!!!!!

ID: 1181304724466868224

linkhttp://www.paulsenhermes.org calendar_today07-10-2019 20:26:28

283,283K Tweet

1,1K Followers

7,7K Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mzee ni ngumu sana kumjibu kwasababu vyote anavyoongea vinaakili na amejikita kisheria na katiba. Sasa CHAWA wanachojivunia kwasasa ni KIBURI TUU ila nao wanajua mama yao hatakiwi duniani , peponi na kuzimu. Endeleeni kushupaza SHINGO. TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

MAASAI MUUZA DAWA ๐ŸŒฟ (@kimanidawa) 's Twitter Profile Photo

DAWA YA KUTOA UCHAWI WA AINA YOYOTE KWENYE MWILI WAKO NA KUFUNGUA VIFUNGO VYA KILA AINA. Tafuta majani ya mti wa mnyonyo pamoja na mbegu zake pondaponda pamoja na majani ya mbaazi baada ya hapo weka kwenye sufuria lenye maji lita nne weka kwenye jiko hiyo dawa mpaka ichemke

DAWA YA KUTOA UCHAWI WA AINA YOYOTE KWENYE MWILI WAKO NA KUFUNGUA VIFUNGO VYA KILA AINA.

Tafuta majani ya mti wa mnyonyo pamoja na mbegu zake pondaponda pamoja na majani ya mbaazi baada ya hapo weka kwenye sufuria lenye maji lita nne weka kwenye jiko hiyo dawa mpaka ichemke
Mpale Mpoki (@mpalempoki) 's Twitter Profile Photo

Naweza Sema pasi kuacha shaka yoyote sala ya kuliombea taifa imeanza kufanya kazi. Wameanza kutoa siri ya jinsi kura zinaibiwa ili kulazimisha ushindi. Tuzidishe kuomba Mungu ni Msikivu . Ni dhahiri kuwa tunahitaji mabadiliko No Reforms No Elections Maria Sarungi Tsehai Think Different

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Mpo? CCM oyee ๐Ÿ™„ Nchi hii imechezewa sana! Yaani tumekuwa bize na kampeni na kubanana na mawakala na matokeo kumbe kuna waya /switch Enhee! Mi nitarudi baadaye maana mambo ni mengi na kuna Novena pia Ila #NoReformsNoElection

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Mpo? 
CCM oyee ๐Ÿ™„
Nchi hii imechezewa sana! Yaani tumekuwa bize na kampeni na kubanana na mawakala na matokeo kumbe kuna waya /switch 
Enhee! 
Mi nitarudi baadaye maana mambo ni mengi na kuna Novena pia 
Ila #NoReformsNoElection
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Ukirudi usisahau CCM ukiwaambia LINDA KURA wala awashituki wanachekaaaaa Ila ukisema tu hatupigi kura wanachanganyiwa na kupaniki vibaya sana Kumbe wanataka zile foleni kwenye vituo vya kupiga kura tu, ila KURA zote walishapiga kitambo toka mwaka jana ndio maana unasikia CCM

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

All in all #FreeTunduLissu NOW! Mnavyozidi kumshikilia Lissu mnazidi kujiharibia na kuharibu nchi Samia Suluhu The situation is untenable! Mwachieni Lissu! Kwa kauli ya Polepole ya jana #NoReformsNoElection is the only answer na watanzania wote kwa umoja wetu tumeshakuwa of one

All in all #FreeTunduLissu NOW!
Mnavyozidi kumshikilia Lissu mnazidi kujiharibia na kuharibu nchi <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> 
The situation is untenable!
Mwachieni Lissu! 
Kwa kauli ya Polepole ya jana #NoReformsNoElection is the only answer na watanzania wote kwa umoja wetu tumeshakuwa of one
MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

#KENYA: KENYA SECURES SH22 BILLION SAMURAI LOAN FROM JAPAN TO BOOST AUTOMOTIVE AND ENERGY SECTORS Kenya has clinched a landmark Sh22 billion Samurai loan from Japan, its first-ever access to the yen-denominated financing facility. The agreement, signed during the Tokyo

#KENYA: KENYA SECURES SH22 BILLION SAMURAI LOAN FROM JAPAN TO BOOST AUTOMOTIVE AND ENERGY SECTORS
Kenya has clinched a landmark Sh22 billion Samurai loan from Japan, its first-ever access to the yen-denominated financing facility. 

The agreement, signed during the Tokyo
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kesho karibuni Msimbazi Centre siku nzima ni mfungo ikiwemo sala, kuabudu Ekaristi, misa nk Wale wahuni waliomshambulia Fr Kitima msithubutu kusogelea hapo ๐Ÿ™„ nyie mashetani roho chafu! Eniwei tusisahau kuiombea Tanzania Haki na Amani huku tukiendelea kuchapa spana ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Kesho karibuni Msimbazi Centre siku nzima ni mfungo ikiwemo sala, kuabudu Ekaristi,
misa nk
Wale wahuni waliomshambulia Fr Kitima msithubutu kusogelea hapo ๐Ÿ™„ nyie mashetani roho chafu! 
Eniwei tusisahau kuiombea Tanzania Haki na Amani huku tukiendelea kuchapa spana 
๐Ÿ™๐Ÿฝ
Chadema Kanda ya Pwani (@chademapwani) 's Twitter Profile Photo

Wanachama 10 waliokua wanashikiliwa Central Police Dsm kwa siku 7 leo wameachiwa kwa dhamana. Tunashukuru wote kwa kupaza sauti, mawakili pamoja na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC kwa msaada wa kisheria kupitia Ad.Maduhu.

Wanachama 10 waliokua wanashikiliwa Central Police Dsm kwa siku 7 leo wameachiwa kwa dhamana. 

Tunashukuru wote kwa kupaza sauti, mawakili pamoja na kituo cha sheria na haki za binadamu <a href="/humanrightstz/">LHRC</a> kwa msaada wa kisheria kupitia Ad.Maduhu.
Ntele B H (@ntele_bh) 's Twitter Profile Photo

Updates Wanachama 10 waliokua wanashikiliwa Central Police Dsm kwa siku 7 wameachiwa kwa dhamana siku ya leo Tunashukuru wote kwa kupaza sauti, mawakili pamoja na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC kwa msaada wa kisheria kupitia Ad.Maduhu.

Updates

Wanachama 10 waliokua wanashikiliwa Central Police Dsm kwa siku 7 wameachiwa kwa dhamana siku ya leo

Tunashukuru wote kwa kupaza sauti, mawakili pamoja na kituo cha sheria na haki za binadamu <a href="/humanrightstz/">LHRC</a> kwa msaada wa kisheria kupitia Ad.Maduhu.
MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

#AUSTRALIA: FORMER GARISSA NORTH MP ABDIKADIR HASSAN YUSSUF DIES WHILE IN TRANSIT Former Garissa North Member of Parliament, Abdikadir Hassan Yussuf, widely known as "Tallie", has passed away while traveling from Australia to Kenya. The news was confirmed on Friday, August 22,

#AUSTRALIA: FORMER GARISSA NORTH MP ABDIKADIR HASSAN YUSSUF DIES WHILE IN TRANSIT
Former Garissa North Member of Parliament, Abdikadir Hassan Yussuf, widely known as "Tallie", has passed away while traveling from Australia to Kenya. 

The news was confirmed on Friday, August 22,
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Anauliza Wakili mmoja mwenye busara na weledi. โ€œ Jaji anahukumu watu kunyongwa au kifungo cha maisha. Hakimu anahukumu watu adhabu za miaka 30 jela na wengine, kifungo cha maisha.Waendesha mashtaka ndiyo haswa wanao wakandamiza washtakiwa kwa kuendesha mashtaka dhidi yao. Wote

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#PALESTINA: NJAA YATHIBITISHWA RASMI KWA MARA YA KWANZA GAZA Kwa mara ya kwanza, njaa imethibitishwa rasmi katika Jiji la Gaza, huku mashirika ya Umoja wa Mataifa yakionya kuwa hali ya kibinadamu imefikia kiwango cha janga. UNRWA imesema kuwa misaada ya chakula, dawa na vifaa

#PALESTINA: NJAA YATHIBITISHWA RASMI KWA MARA YA KWANZA GAZA
Kwa mara ya kwanza, njaa imethibitishwa rasmi katika Jiji la Gaza, huku mashirika ya Umoja wa Mataifa yakionya kuwa hali ya kibinadamu imefikia kiwango cha janga. 
UNRWA imesema kuwa misaada ya chakula, dawa na vifaa
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#PALESTINA: HAMAS YAITAKA ISRAEL KUFUNGUA VIVUKO GAZA KUFUATIA JANGA LA NJAA KUTANGAZWA Hamas imetoa wito wa kufunguliwa kwa vivuko vya Ukanda wa Gaza, ikilaani vikali hatua ya utawala wa Israel ya kuvifunga kwa siku kadhaa mfululizo. Taarifa ya HAMAS imeeleza kuwa kufungwa kwa

#PALESTINA: HAMAS YAITAKA ISRAEL KUFUNGUA VIVUKO GAZA KUFUATIA JANGA LA NJAA KUTANGAZWA
Hamas imetoa wito wa kufunguliwa kwa vivuko vya Ukanda wa Gaza, ikilaani vikali hatua ya utawala wa Israel ya kuvifunga kwa siku kadhaa mfululizo. 

Taarifa ya HAMAS imeeleza kuwa kufungwa kwa