
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ
@davitheempire
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐ A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
ID: 2436105846
http://mwakaT.com 09-04-2014 22:15:18
195,195K Tweet
24,24K Followers
1,1K Following







Good morning mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Ninakuomba kwa unyenyekevu kufahamu ni hatua gani wewe na serikali yako mmechukua dhidi ya mtuhumiwa mkuu ACP Mafwele wa Police Force TZ kwa mateso na ubakaji katika kesi inayomhusu Agatha Atuhaire Agather Atuhaire

Martha Karua SC Samia Suluhu Police Force TZ Agather Atuhaire Atawezaje kuchukua hatua wakati yeye ndiye aliyewatuma Jeshi la Polisi wamuumize Boniface Mwangi na Agatha?


Kongamano la Wasomi CHASO Dar Es Salaam Mgeni rasmi Mhe.John Heche Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara.


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania.. John Heche




Muda huu Makam Mwenyekiti Mhe. John Heche akizungumza na Wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati katika ukumbi wa CHADEMA HQ, Mikocheni.

