#AFYA YANGU πŸ’ŠπŸ˜·(@dr_simoni) 's Twitter Profileg
#AFYA YANGU πŸ’ŠπŸ˜·

@dr_simoni

HEALTH CARE PROVIDER, KID'S FARTHER
#Afya njema ni matokeo ya mtu kuchukua hatua baada au kabla ya tatizo Kutokea

ID:1656369907628404760

calendar_today10-05-2023 18:46:34

3,4K Tweets

598 Followers

72 Following

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Bi. fatma karume aka Shangazi habari yako?

Binafsi ninalo swali dogo sana tu lakini linanitatiza sana; Mji Mkongwe (Stone Town) ni sawa na ilivyo Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)

Maeneo yote mawili yanatambuliwa na UNESCO kama sehemu ya urithi wa Dunia, kwa kuwa na umuhimu wa…

Bi. @fatma_karume habari yako? Binafsi ninalo swali dogo sana tu lakini linanitatiza sana; Mji Mkongwe (Stone Town) ni sawa na ilivyo Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Maeneo yote mawili yanatambuliwa na UNESCO kama sehemu ya urithi wa Dunia, kwa kuwa na umuhimu wa…
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

πŸ˜“Tundu Antiphas Lissu nimesikitika - we siyo fashisti - sema tu ukweli ndo maana ni kipenzi cha watu! Wanywe panadol kama wanaumia 🀣
Ulipokuwa unatetea Zanzibar ndani ya Muungano walikuwa wanafurahi leo unamchapa mama yao mzanzibari wakuite mbaguzi?
Spana ziendelee πŸ”§

πŸ˜“@TunduALissu nimesikitika - we siyo fashisti - sema tu ukweli ndo maana ni kipenzi cha watu! Wanywe panadol kama wanaumia 🀣 Ulipokuwa unatetea Zanzibar ndani ya Muungano walikuwa wanafurahi leo unamchapa mama yao mzanzibari wakuite mbaguzi? Spana ziendelee πŸ”§ #TutaelewanaTu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo


Kama kuna mtu ambaye ataingia katika vitabu vya kihistoria kupigania haki za wananchi tena kwenye migogoro ya ardhi ni TUNDU ANTIPAS LISSU
Kuaminika na kupendwa kwake hakujazuka tu - he has fought hard for the people and paid the price personally!
Umpende usimpende…

#Tanzania Kama kuna mtu ambaye ataingia katika vitabu vya kihistoria kupigania haki za wananchi tena kwenye migogoro ya ardhi ni TUNDU ANTIPAS LISSU Kuaminika na kupendwa kwake hakujazuka tu - he has fought hard for the people and paid the price personally! Umpende usimpende…
account_circle
SalΓ©s Nicco(@OnlineDentistTz) 's Twitter Profile Photo

I think opposition inashida moja;
Candidates wake wengi they are too smart for watanzania,
Watanzania hawapendi watu wenye akili, kwanza hawakuelewi! Watanzania wanataka dumb populists, watu wanaotoa ahadi za uongo kufurahisha umati. Ukianza tumia akili hivi, unawaboa.

account_circle
#AFYA YANGU πŸ’ŠπŸ˜·(@dr_simoni) 's Twitter Profile Photo

Bonge La Afya Kuna changamoto kidg Kwa apa bothi
Kwa Sababu hii ni kama biashara tu (hakuna tofauti Mkubwa)Kwa maana ya kwamba lazima utengenezi Jina na ndipo utawez kuwa na Watu ama mabalozi ambao watawapa wengine taarifa njema kuhusu hosiii Yako Kulingana na namna unavyowatibu customer Wako

account_circle
#AFYA YANGU πŸ’ŠπŸ˜·(@dr_simoni) 's Twitter Profile Photo

♻️ Wakuu tushushe handle tupate followers,
Na follow back wote, #AFYA YANGU πŸ’ŠπŸ˜·

❎ Tuachene na Siasa kwanza maana wengine hatuna wakili msomi

♻️ Wakuu tushushe handle tupate followers, Na follow back wote, @dr_simoni ❎ Tuachene na Siasa kwanza maana wengine hatuna wakili msomi
account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

fatma karume aka Shangazi Haya ni maneno makali kutoka kwa mtu ninayemheshimu sana. Rais akitokea Tanganyika sio malaika & hukosea. Na akikosea hukosolewa vikali. Ndivyo nilivyofanya kwa Mkapa aliyenipa kesi ya jinai; Kikwete aliyenipa kesi 3, & Magufuli aliyenipa kesi 6 na risasi 16. Sijaanzia kwa Samia.

account_circle