Denis Mketo (@dmketo1) 's Twitter Profile
Denis Mketo

@dmketo1

Cogito ergo sum

ID: 1185492433720791040

calendar_today19-10-2019 09:46:44

142 Tweet

39 Followers

105 Following

Denis Mketo (@dmketo1) 's Twitter Profile Photo

Kuishabikia Arsenal kuna muda inabidi uwe na moyo wa kiuwendawazimu wa kutokujali lolote. Timu haina consistency kabisa. Ngoja tuwe wazalendo angalau Mtanzania mwenzetu asalie EPL anyway.

Denis Mketo (@dmketo1) 's Twitter Profile Photo

Pumzika kwa amani mzee Mkapa. Mungu akawe mfariji mkuu kwa wanafamilia na watanzania wote. Kifo hiki kikatuunganishe tuwe kitu kimoja hasa kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi mkuu. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina na Bwana lihimidiwe.

Denis Mketo (@dmketo1) 's Twitter Profile Photo

Tuna TZ moja tu, kila tunachofanya au kufikiria kukifanya ktk uchaguzi huu kiwe kwa lengo la kuendeleza ustawi, amani na umoja wetu. Siasa nje ya misingi hii ni SI-HASA tu. #mtanzaniakwawatanzanianatanzania

Henry H. Mwinuka (@mwinukah) 's Twitter Profile Photo

#SGRIMPACT Data from TRC shows That 1 Single SGR Train is Expected to handle 10000 Tonnes, which is Equivalent to Replacing 500 Trucks in a Single Trip. SGR will be Cost & Time Efficient. Committed & Visionary Leadership for Greater Results. Jokate Mwegelo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Gabriel Mwang'onda🇹🇿 Soba

#SGRIMPACT
Data from TRC shows That 1 Single SGR Train is Expected to handle 10000 Tonnes, which is Equivalent to Replacing 500 Trucks in a Single Trip. SGR will be Cost &amp; Time Efficient. Committed &amp; Visionary Leadership for Greater Results. <a href="/jokateM/">Jokate Mwegelo</a> <a href="/OManagwa/">🇹🇿🇹🇿🇹🇿</a> <a href="/GMwangonda/">Gabriel Mwang'onda🇹🇿</a> <a href="/s_soba/">Soba</a>
Jacqueline Mkindi (@mkindijackie) 's Twitter Profile Photo

Imagine Europe consumes more than a million metric tones of avocado per annum and projections indicate upwards trend in the next 10-15 yrs. This is a huge market indeed. Tanzanians lets up our game to hook a lion share of the market for the green gold!

Ruwasa Tanzania (@ruwasatz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO awataka wataalamu wa Wakala wa Maji Vijijini kuwekeza nguvu nyingi kwenye utoaji wa huduma ya maji vijijini ili miradi ya maji pamoja na huduma za maji kuwa endelevu kwenye maeneo ya vijijini.

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO awataka wataalamu wa Wakala wa Maji Vijijini kuwekeza nguvu nyingi kwenye utoaji wa huduma ya maji vijijini ili miradi ya maji pamoja na huduma za maji kuwa endelevu kwenye maeneo ya vijijini.
Denis Mketo (@dmketo1) 's Twitter Profile Photo

Kutokana na hizi mvua na barabara nyingi kufurika maji, nimejaribu tu kuwaza kama nchi hatuwezi kuwa na mifumo ya kuvuna maji ya mvua na kuyaelekeza kwenye matumizi mbalimbali ya kijamii?

Mo Dewji Foundation (@dewjifoundation) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA YA MAOMBI: tunakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza kuomba Udhamini wa Programu ya Mo ambao unalipia gharama za Chuo, gharama za awali za kujiandikisha, malazi na chakula. Kwa maelezo zaidi juu ya uombaji bonyeza link (kiunganishi) iliyo kwenye kurasa yetu.

TAARIFA YA MAOMBI: tunakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza kuomba Udhamini wa Programu ya Mo ambao unalipia gharama za Chuo, gharama za awali za kujiandikisha, malazi na chakula. Kwa maelezo zaidi juu ya uombaji bonyeza link (kiunganishi) iliyo kwenye kurasa yetu.
Ruwasa Tanzania (@ruwasatz) 's Twitter Profile Photo

“Sasa hivi watu wa maji ni rafiki zangu kweli kweli” sehemu ya maneno ya Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizindua skimu ya maji ya Kakongo mkoani Kigoma Oktoba 16, 2022