Ruwasa Tanzania (@ruwasatz) 's Twitter Profile
Ruwasa Tanzania

@ruwasatz

Karibu katika ukurasa rasmi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA)

ID: 1237398919904100352

linkhttp://www.ruwasa.go.tz calendar_today10-03-2020 15:24:43

594 Tweet

448 Followers

28 Following

Ruwasa Tanzania (@ruwasatz) 's Twitter Profile Photo

#Repost @ruwasa_tanga with Roslyn K..repost ・・・ #majibombani Mkoa wa Tanga unaendelea na utekelezaji wa miradi 79 ya maji ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuendelea kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa mijini na vijijini.

Ruwasa Tanzania (@ruwasatz) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amezitaka Taasisi Mkoani humo kuweka utaratibu wa kufanya tathmini za Kiutendaji na amewapongeza RUWASA kwa kuweka utaratibu wa kuwa na vikao vya aina hiyo ikiwa lengo ni kutathmini utekelezaji wa majukumu yao kwa ngazi ya Wilaya na Mkoa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua mradi wa maji Hungumalwa uliyopo kata ya Hungumalwa, Kwimba mkoani Mwanza Mei 18, 2025 ambapo DG wa RUWASA injinia Wolta Kirita alihudhuria hafla hiyo. Mradi huo unaotekelezwa na RUWASA unawanufaisha takribani wananchi 24,349 wa kata hiyo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua mradi wa maji Hungumalwa uliyopo kata ya Hungumalwa, Kwimba mkoani Mwanza Mei 18, 2025 ambapo DG wa RUWASA injinia Wolta Kirita alihudhuria hafla hiyo.

Mradi huo unaotekelezwa na RUWASA unawanufaisha takribani wananchi 24,349 wa kata hiyo.
Ruwasa Tanzania (@ruwasatz) 's Twitter Profile Photo

#MAJIBOMBANI WAZIRI AWESO ATEMBELEA BANDA LA RUWASA Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea banda la RUWASA katika maonesho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Juni 2, 2025.

#MAJIBOMBANI

WAZIRI AWESO ATEMBELEA BANDA LA RUWASA

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea banda la RUWASA katika maonesho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Juni 2, 2025.