Derick Joseph (@derickkjoseph) 's Twitter Profile
Derick Joseph

@derickkjoseph

ID: 1426618652384800768

calendar_today14-08-2021 18:57:32

56 Tweet

29 Followers

192 Following

#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Day 25 Siku zinaenda,Tumepitia maumivu ambayo hayawezi kuelezeka kwa maneno. Daniel ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha, na familia inavunjika kwa ukimya wa majibu. Lakini kama Nabii Yaqub alivyosema alipompoteza mwanawe Yusuf: ‘Najua kutoka kwa Mwenyezi Mungu msiyoyajua

Day 25

Siku zinaenda,Tumepitia maumivu ambayo hayawezi kuelezeka kwa maneno. Daniel ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha, na familia inavunjika kwa ukimya wa majibu.

Lakini kama Nabii Yaqub alivyosema alipompoteza mwanawe Yusuf: ‘Najua kutoka kwa Mwenyezi Mungu msiyoyajua
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Day 26 Ewe Mwingi wa Rehema, tupe subira katika kipindi hiki kigumu. Tia utulivu ndani ya mioyo yetu, tupe nguvu ya kuendelea kuamini hata tunapochoka. Tunakuomba umrejeshe Daniel akiwa salama, na utufunulie ukweli kwa wakati Wako uliobarikiwa. Ameen. فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ

Day 26

Ewe Mwingi wa Rehema, tupe subira katika kipindi hiki kigumu. Tia utulivu ndani ya mioyo yetu, tupe nguvu ya kuendelea kuamini hata tunapochoka. Tunakuomba umrejeshe Daniel akiwa salama, na utufunulie ukweli kwa wakati Wako uliobarikiwa. Ameen.

فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Bro DANIEL CHONCHORIO Daniel chonchorio Nyamohanga alikuwa mtu wa watu na aliguswa zaidi ktk kusaidia. Kwasababu ya nchi yetu kuongozwa na Serikali isiyojali raia wake, ndg DANIEL alitekwa hadi leo hajulikani alipo. Ndio maana tunaunga CHADEMA ili ilete mageuzi ktk nchi Yetu, CCM imeshindwa.

Bro DANIEL CHONCHORIO <a href="/chonchorio99033/">Daniel chonchorio Nyamohanga</a> alikuwa mtu wa watu na aliguswa zaidi ktk kusaidia. Kwasababu ya nchi yetu kuongozwa na Serikali isiyojali raia wake, ndg DANIEL alitekwa hadi leo hajulikani alipo. Ndio maana tunaunga CHADEMA ili ilete mageuzi ktk nchi Yetu, CCM imeshindwa.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Daniel, kama ilivyo Soka na wote waliopotezwa, ni binadamu kama sisi. Ni ngumu kufikiri maumivu familia na ndugu wanayopitia. Inatuogofya sisi pia kama jamii. Ni masuala yanayoudhi. Yanachukiza. Mrejesheni Daniel. Warejesheni wote waliotekwa.

#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Ee Mola wetu, Daniel yuko mikononi mwako. Mfunike kwa rehema Zako, muepushe na mabaya, na mrudishe salama. Tunakuamini, ewe Mjuzi wa siri zote. Ameen.

Ee Mola wetu, Daniel yuko mikononi mwako. Mfunike kwa rehema Zako, muepushe na mabaya, na mrudishe salama. Tunakuamini, ewe Mjuzi wa siri zote. Ameen.
Michael Sessan (@msessan) 's Twitter Profile Photo

Only God can keep you waiting this long and still give you strength to hope. It’s been two months since #FreeDanielChonchorio was abducted, no word/clue. We as Family & Friends only wish to see him again & hear his voice ❤️💔🙏 #BringBackDanielChonchorio #FreeUncleChox

Only God can keep you waiting this long and still give you strength to hope. 
It’s been two months since #FreeDanielChonchorio was abducted, no word/clue.

We as Family &amp; Friends only wish to see him again &amp; hear his voice ❤️💔🙏

#BringBackDanielChonchorio 
#FreeUncleChox
Most Wanted JR (@uchafuzim) 's Twitter Profile Photo

Alaa kumbe huyu MNEC anaitwa Daniel Chonchorio ametekwa katika.Nataka kujua Samia Suluhu Daniel Chonchorio ni kenge wa ndani? Kosa la Daniel ni lipi mpaka jamhuri ishindwe kumpeleka mahakamani?

Heche Enock (@heche_m_enock) 's Twitter Profile Photo

Daniel Chonchorio ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa Ccm ametekwa ni miezi sasa imepita wanaccm wenzake akiwemo Msukuma na Ester Matiko hatukuwasikia wakisema chochote, anatokea GWAJIMA anasimama kuhesabiwa wanaanza kulalamika, Nchi yetu imefikia sehemu anatetea uovu anashambuliw

Daniel Chonchorio ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa Ccm ametekwa ni miezi sasa imepita wanaccm wenzake akiwemo Msukuma na Ester Matiko hatukuwasikia wakisema chochote, anatokea GWAJIMA anasimama kuhesabiwa wanaanza kulalamika, Nchi yetu imefikia sehemu anatetea uovu anashambuliw
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Lord, I lift up Daniel to You. Surround him with Your peace, protect him with Your strength, and guide him with Your light. May Your presence bring him comfort and hope. Amen.

Dear God, Wherever Daniel is, hold him gently. Quiet his fears. Light his path. Let love find him, and bring him back.❤️🫂 #BRINGBACKDANIELCHONCHORIO #ISTANDWITHDANIEL

Dear God,

Wherever Daniel is, hold him gently. Quiet his fears. Light his path. Let love find him, and bring him back.❤️🫂
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO 
#ISTANDWITHDANIEL
World of Statistics (@stats_feed) 's Twitter Profile Photo

Countries with the largest declines in Freedom (2014-2024) according to Freedom House (decline in score): 🇳🇮 Nicaragua: -40 🇹🇳 Tunisia: -35 🇸🇻 El Salvador: -28 🇹🇿 Tanzania: -28 🇳🇪 Niger: -26 🇭🇰 Hong Kong: -25 🇷🇸 Serbia: -24 🇹🇷 Türkiye: -22 🇻🇪 Venezuela: -22 🇧🇯 Benin: -21 🇧🇫