Child of God
@inexorablesog
Jesus is God
ID: 314427125
10-06-2011 07:22:25
23,23K Tweet
2,2K Followers
1,1K Following
Child of God Jasmini ❣️ John Heche MNYIKA John John Godbless E.J. Lema Maria Sarungi Tsehai Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 Brenda Rupia Jonas Haya mambo yanaumiza sana. Huo UTU uko wapi?! Ndio watu walikuwa wanapigania uhuru ili waje kuwafanyia watu wao hivi?!!
Child of God Unyama wa namna hii kwa watoto wa nchi hii ambao walitaka hali ya kisiasa iwe fair, katiba iwe updated kuendana na matakwa na matarajio yao na sio ya wazee wa 1922, haki zao zizingatiwe kama binadamu. Then unataka kuongoza bila kukiri, kuomba msamaha na kukaa pembeni. HAPANA
Maria Sarungi Tsehai Child of God Wanajuana namna walivyopanda hizi mbegu. Ngoja wanafikiri wataweza ku move on na hili swala la October 29 ila haiwezekani bila uwajibikaji wa haki