Aman Robert (@amanrobert6) 's Twitter Profile
Aman Robert

@amanrobert6

if you look very closely, you will see me and not caring.

ID: 1282743995211407366

linkhttp://www.aman.com calendar_today13-07-2020 18:31:34

2,2K Tweet

203 Followers

453 Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Ni raha sana kumsikiliza mtu anayejua akifanya mawasilisho Mahakamani. Tundu ametoa elimu ghali sana ya criminal law & procedure. Unamshitaki mtu kwa hila - yeye anakuwa na shauku na kesi kuliko mawakili wako. We huogopi? Viva Tundu Lissu! #FreeTunduLissu

Mission (@fada_bk) 's Twitter Profile Photo

All glory goes to God. I'm not one to pray for more years or long life. I just pray He helps me to be faithful to Him and overcome my weaknesses and constantly grow in faith, humility, love and service. Thanks also to everyone in Angola and Nigeria who made these years possible

All glory goes to God.

I'm not one to pray for more years or long life. I just pray He helps me to be faithful to Him and overcome my weaknesses and constantly grow in faith, humility, love and service.

Thanks also to everyone in Angola and Nigeria who made these years possible
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa Waheshimiwa viongozi wa dini, Kwa heshima kubwa na moyo mzito, nawaandikia barua hii nikiwa kama raia wa Tanzania, muumini, na mtumishi wa umma wa

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Uandike utakufa; usiandike utakufa; upate sifa utakufa; usipate sifa utakufa; ukae upande wa watesi wetu utakufa; uwe kiongozi utakufa; uwe raia wa kawaida utakufa pia; kukaa kimya sio sababu ya kukwepa kifo. Hakuna kifo kitamu; hata kansa inaua vibaya sawa na watekaji; kifo ni

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

We are highly concerned and demamd the release of Brenda Rupia Jonas #Tanzania #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia Free Her NOW Police Force TZ Samia Suluhu

We are highly concerned and demamd the release of <a href="/BrendaRupia/">Brenda Rupia Jonas</a> 
#Tanzania 

#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 

Free Her NOW 
<a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>
Salekwa Jr. (@salekwaj) 's Twitter Profile Photo

Kuhani na Mlawi ktk Injili, wanawawakilisha wote wanaokaa kimya au kusema "hayatuhusu" panapotokea Udhalimu, Haki kukandamizwa na na watu kunyanyaswa. Nyakati hizi ambazo "Uchawa" ni mtaji na fursa za kujikwamua kimaisha, tunakosa "wasamaria wema" wengi. Tumuombe Mungu tu.

Kipaumbele chetu kiwe kukaa miguuni pa Yesu Kristo, Kumjifunza na kutenda atakayo. Lakini tusisahau pia kuwahudumia wengine. Kazi na Sala vikifungamana, maisha yetu yatakuwa na ladha isiyopungua kamwe. Niwatakieni Dominika njema. Tutenge muda kwa ajili ya kukaa na Yesu!

iHumphreys (@ihumphreyz) 's Twitter Profile Photo

Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Efeso 6:11-12

Ugandan Catholics Online (@ugcatholics) 's Twitter Profile Photo

Heavenly Father, thank You for the gift of a new day. Fill my heart with Your peace and guide my steps with Your wisdom. May my thoughts, words, and actions reflect Your love and grace. Protect and bless me, my loved ones, and all those I encounter today. In Jesus’ name, Amen.

Jules💝 (@ueify) 's Twitter Profile Photo

O Mother of Perpetual help, listen to our pleading souls, you can help us in our needs, Mary with hope we call on you.