Salekwa Jr. (@salekwaj) 's Twitter Profile
Salekwa Jr.

@salekwaj

A Spiritan Missionary Priest. Holds MTh, MEd. Devoted in Education and Pedagogy. Un apologetically Catholic!

ID: 1268785008640131073

calendar_today05-06-2020 06:02:05

218 Tweet

537 Followers

205 Following

Salekwa Jr. (@salekwaj) 's Twitter Profile Photo

Kuhani na Mlawi ktk Injili, wanawawakilisha wote wanaokaa kimya au kusema "hayatuhusu" panapotokea Udhalimu, Haki kukandamizwa na na watu kunyanyaswa. Nyakati hizi ambazo "Uchawa" ni mtaji na fursa za kujikwamua kimaisha, tunakosa "wasamaria wema" wengi. Tumuombe Mungu tu.