Happie💕
@Happie_Thom
Accountant by Pro| Influencer | A Sister and A Friend| Lord is my shepherd🙏| Man City| ⚽⚽| LiveLoveLaugh❤
ID:1149043805208940546
10-07-2019 19:52:46
162,8K Tweets
126,7K Followers
2,0K Following
Ndugu Watanzania wenzangu na Wana Afrika Mashariki na Kati, Saa 6 Usiku wa leo kutokea Muheza, Tanga nitaazima usikivu, macho na akili zenu.
Kaa karibu na Crown Media Alikiba
#WanaWaHanuHanu #HapaNiNyumbani
King @officialalikiba ametoa malekezo Kwa wanaafrika mashariki na kati kua macho hadi saa 6 usiku ana surprise kwa Umma.🙂
Kaa karibu na kurasa zote za Crown Media.
#HapaNiNyumbani #WanaWaHanuHanu
Maagizo kutoka juu yanaelekeza Watanzania, na Wana Afrika Mashariki na Kati wote kuwa macho saa 6 usiku bila kupepesa, mjuze na mwenzio, Rais @officialalikiba amesema
Kaa karibu na kurasa zetu zote.
#HapaNiNyumbani #WanaWaHanuHanu
Basi bwana Boss @officialalikiba kasema tusilale mapema leo!!
Saa sita usiku ana jambo lake paleee🔥.
#HapaNiNyumbani #WanaWaHanuHanu
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu amepokea ripoti ya maafa ya mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha, pamoja na maandalizi ya maadhimisho ya sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.
#MamaYukoKazini
Leo Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar ameongoza kikao maalum kilichowasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha.
#MamaYukoKazini
Je unajua kwamba kwenye kusherehekea #HadhiYaJuu , mzee baba Casper Nyovest atakuwepo??
BITEVIBES ni 26-27th April itakuwa na list ya mastar kibao utakao wafurahia, ni wewe tu kutenga siku mbili kusherekea midundo yetu Viwanja vya Posta Kijitonyama palee. Usizubaee saasa 🔥😹
Mpwapwa kwa sasa wana jengo la Wagonjwa mahututi lenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa 10 kwa pamoja.
Serikali inaendelea kuboresha huduma za afya nchini.
#MamaYukoKazini
Na hizi mvua maliza miamala ukiwa na SimBanking.
Na hivi ndio baadhi ya huduma za malipo unaweza fanya.
1.Luku
2.Maji
3.Vifurushi vya TV
4.Malipo ya serikali
5.Tiketi za ndege
6.Mechi za mpira
7.Bima ya Gari
Uwezo wote uko kiganjani mwako #SwahibaLanguLako
#BenkiNiSimBanking
#MiakaMitatuYaMama barabara za lami takribani kilomita 5,000 zimejengwa.
✅ Kilomita 1,198 zimekamilika
⏳ Kilomita 3,794 kazi inaendelea
#MamaYukoKazini
Bayer Leverkusen kesho uwanja wa nyumbani kwao wanaweza kutangaza ubingwa wao wa kwanza tangu kuanzishwa ligi ya Bundesliga
Lipia mapema kifurushi chako DSTv, Azam Tv kushuhudia huu mtanange kwa Simbanking ujizoelee zawadi #SwahibaLanguLako
Mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo na huu ndo muonekano wa soko la kisasa katika halmashauri ya mji Tarime.
#MamaYukoKazini
Vijana wengi zaidi wamenufaika na ujenzi wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi;
◉ Mwaka 2022/23: Wanafunzi 380,748
◉ Mwaka 2023/2024: Wanafunzi 415,131
Haya ni matokeo ya kazi iliyofanyika katika #MiakaMitatuYaMama ikihusisha ujenzi wa vyuo vipya 29.
#MamaYukoKazini
Weekend ndo hii usikae kinyonge. Jipatie mkopo chapchap kutoka Soft Finance ukusaidie katika mishe zako. Wasiliana nao leo ujipatie mkopo wako ndani ya dk 45 tu!
#MpangoPesa #SoftFinance
Swahiba mchongo kwa sasa ni #BenkiNiSimBanking 📲
Miamala inalipa, cha kufanya tumia SimBanking yako kufanya miamala ya kila siku ushinde.
Bodaboda,Bajaji,Nissan Dualis kila baada ya miezi 3, smartphones na Laptop 1 kila mwezi maalumu kwa wanafunzi wa chuo.
#SwahibaLanguLako
Mabingwa wa Kijani ni rahisi kupata Yanga Visa Card kupitia SimBanking ya CRDB Bank PLC app.
Fungua App ya SimBanking
Chagua Kadi
Chagua Omba Kadi
Chagua Yanga Card
Kadi hizi zina Bima Hadi ya 2 m ushindwe wewe
#BenkiNiSimBanking
#SwahibaLanguLako
Je unazijua fursa za vijana zilizopo katika sekta ya mazingira? Regina Magoke atatupa majibu kesho kwenye #ElimikaWikiendi