finah carpets🥰(@Sarafina7420) 's Twitter Profileg
finah carpets🥰

@Sarafina7420

Wanna try yo feets on my mats?/ Angalia samples bonyeza hapa👉
https://t.co/ovJNTvdZ0D au
bonyeza media tab/
📍Dsm mkoani natuma pia, karibu sana😉😍

ID:1185941384798310401

calendar_today20-10-2019 15:30:59

92,7K Tweets

10,3K Followers

8,4K Following

DanielHK🍁(@rasoulHK) 's Twitter Profile Photo

Kuna wale 'Wajomba' na 'Mashangazi' wanaolalamika kwamba hatuwapigii simu, mbona watoto zao hawawapigii simu Wazazi Wetu.😂

account_circle
Ms. Lily. HJ 🥀✨🖤(@Captivate73) 's Twitter Profile Photo

Me: Mambo kaka

Him: Poa dada za ww?

Me: Safi, Umeoa?

Him: Hapana, unataka tu unite?

Me: Hapana😂

Him:Usiogope toa tamko nifanye
jambo?

Me: Heh🙉😳

Him: Serious toa tamko chap

Me: Hapana kaka😂😂😂

Him: Laughing😂😂😂

Me: Mtego huu😂😂😂Hapana

account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Kwako mjasiriamali tunaendelea kukukumbusha kuwa mkopo wa kweli na wa uhakika unapatikana Soft Finance
Karibu ufurahie huduma bora za mikopo na ukuze biashara yako.

hawana ubabaishaji wanakupa mkopo kuanzia laki 5 ndani ya dk 45 tu.

Kwako mjasiriamali tunaendelea kukukumbusha kuwa mkopo wa kweli na wa uhakika unapatikana @softfinancetz Karibu ufurahie huduma bora za mikopo na ukuze biashara yako. #SoftFinance hawana ubabaishaji wanakupa mkopo kuanzia laki 5 ndani ya dk 45 tu. #MpangoPesa
account_circle
Fumbo Junior. فومبو جونيور(@FumboJunior) 's Twitter Profile Photo

Kaza moyo yavumilie mambo ya watu hata kama yanakukera vumilia maana na wewe kuna watu wanakuvumilia sana na wengine unawakera sana ila wanakuvumilia

account_circle
Jizzle(@Jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Kindly Repost

Make; Mitsubishi
Model ; Rosa
Body type; Multcolour
Year; 1998
Fuel; Diesel
Imported; Japan
Loc; Iringa
Price; 42M
Tel; 0768832035
Nb; karibu na offer yako tutakupa ushirikiano wa hali ya juu & nzuri zaidi tunakupa na zawadi ya huyo Kuku na kaumbwa kadogo

Kindly Repost Make; Mitsubishi Model ; Rosa Body type; Multcolour Year; 1998 Fuel; Diesel Imported; Japan Loc; Iringa Price; 42M Tel; 0768832035 Nb; karibu na offer yako tutakupa ushirikiano wa hali ya juu & nzuri zaidi tunakupa na zawadi ya huyo Kuku na kaumbwa kadogo
account_circle
KAPETO🇹🇿(@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Wakuu Nawakumbusha tupendane tusaidiane tupeane support kwenye Shughuli zetu za kila siku Mungu atatubariki..!🙏🥂

account_circle
KAPETO🇹🇿(@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Amka asubuhi na Mapema.

1. Fanya maombi.
2. Fanya mazoezi kuweka mwili sawa.
3. Kunywa maji hata Glass 3 tu Asubuhi
4. Fanya Usafi Mwili na Mazingira
5. Toka Nenda Kapambane.

Number 2,3 Ni Muhimu sana.🙂🤷‍♂️

account_circle
SATIVA17(@Sativa255) 's Twitter Profile Photo

Bwana unastahili sifa na utukufu, leo tunaiona siku mpya sio kwa ujanja wetu.

Wapo wengi walitamani kuiona siku hii ila hatuponao. Kaendelee kutulinds dhidi ya maadui zetu, kashushe baraka kwenye kazi zetu bwana.

Pekeetu sisi si kitu. Tunaomba na kuamini wewe ni muweza.

Amen🙏🏿

Bwana unastahili sifa na utukufu, leo tunaiona siku mpya sio kwa ujanja wetu. Wapo wengi walitamani kuiona siku hii ila hatuponao. Kaendelee kutulinds dhidi ya maadui zetu, kashushe baraka kwenye kazi zetu bwana. Pekeetu sisi si kitu. Tunaomba na kuamini wewe ni muweza. Amen🙏🏿
account_circle