Mr Mushi(@mrmushico) 's Twitter Profileg
Mr Mushi

@mrmushico

ID:1512519916934598667

linkhttps://www.instagram.com/mrmushico calendar_today08-04-2022 19:57:24

16,1K Tweets

1,8K Followers

1,3K Following

winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Wasichana waliokatiza masomo kwasababu ya ujauzito hukutana na changamoto nyingi ikiwemo kunyanyapaliwa.Hongereni HakiElimu kwa kufanya utafiti kuhusu kurejea shuleni kwa wasichana hawa.Kwa jamii ielimishwe iache kuwanyanyapaa nao wana haki ya kupata elimu bora.

Wasichana waliokatiza masomo kwasababu ya ujauzito hukutana na changamoto nyingi ikiwemo kunyanyapaliwa.Hongereni @HakiElimu kwa kufanya utafiti kuhusu kurejea shuleni kwa wasichana hawa.Kwa #UstawiWaWatoto jamii ielimishwe iache kuwanyanyapaa nao wana haki ya kupata elimu bora.
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Katika mwaka wa fedha uliopita, serikali ilikusanya shilingi bilioni 678 kupitia maduhuri. Hata hivyo, hii ni 16% tu ya uwezo wetu wa kipekee. Tuna matumaini ya kuona ongezeko kubwa mwaka huu~ Anthony Mavunde, Waziri wa Madini


account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Wizara itaendelea na juhudi za kuwaendeleza wachimbaji wadogo kwa kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu masuala muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za madini
•Kufanya utafiti na kutenga maeneo kwa ajili ya wachimbaji wadogo
•Kuimarisha miundombinu na utendaji wa

Wizara itaendelea na juhudi za kuwaendeleza wachimbaji wadogo kwa kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu masuala muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za madini •Kufanya utafiti na kutenga maeneo kwa ajili ya wachimbaji wadogo •Kuimarisha miundombinu na utendaji wa
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

“Wizara itaendelea na juhudi za kuwaendeleza wachimbaji wadogo kwa kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu masuala muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za madini ikiwemo:-

“Wizara itaendelea na juhudi za kuwaendeleza wachimbaji wadogo kwa kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu masuala muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za madini ikiwemo:- #MadiniNiMaishaNaUtajiri
account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Lengo ni kuongeza ufanisi na kutimiza malengo ya biashara yako kifedha. Ukiwa na mfumo sahihi kama Simplify VFD ni rahisi kufanikisha.


Lengo ni kuongeza ufanisi na kutimiza malengo ya biashara yako kifedha. Ukiwa na mfumo sahihi kama Simplify VFD ni rahisi kufanikisha. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti
account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Umewahi kuhisi unahitaji mkopo lakini bahati mbaya hujui unaanzia wapi, sasa sikia hakuna chimbo la mikopo kama hili Soft Finance hawa jamaa wapo serious sana na kazi yao , ukihitaji mkopo wacheki wao ni ndani ya dakika 45 tu!! Unapata mkopo wako. .👇👇

Umewahi kuhisi unahitaji mkopo lakini bahati mbaya hujui unaanzia wapi, sasa sikia hakuna chimbo la mikopo kama hili @softfinancetz hawa jamaa wapo serious sana na kazi yao , ukihitaji mkopo wacheki wao ni ndani ya dakika 45 tu!! Unapata mkopo wako. #SoftFinance #MpangoPesa.👇👇
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Serikali inakaribisha wawekezaji wa ndani na nje kufungua viwanda vya kutengeza bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa kwa madini yanayopatikana nchini. Mfano:
• Madini chuma
• Uranium
• Madini ya vito i.e almasi, tanzanite,


Serikali inakaribisha wawekezaji wa ndani na nje kufungua viwanda vya kutengeza bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa kwa madini yanayopatikana nchini. Mfano: • Madini chuma • Uranium • Madini ya vito i.e almasi, tanzanite, #BajetiMadini #MadiniNiMaishaNaUtajiri
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Kuwajengea uwezo wamiliki wa leseni ya uchimbaji

Wizara ya madini imeandaa mpango wa kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo kupitia programu za mafunzo standi na kuzitambua Leseni zao ili walate mikopo na vifaa vya uchimbaji

Kuwajengea uwezo wamiliki wa leseni ya uchimbaji Wizara ya madini imeandaa mpango wa kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo kupitia programu za mafunzo standi na kuzitambua Leseni zao ili walate mikopo na vifaa vya uchimbaji #BajetiMadini #MadiniNiMaishaNaUtajiri
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Wizara ya Madini imeandaa mpango wa kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo kupitia programu za mafunzo stadi na kuzitambua Leseni zao ili kupata mikopo na vifaa vya uchimbaji kwa urahisi~ Anthony Mavunde


Wizara ya @MadiniTanzania imeandaa mpango wa kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo kupitia programu za mafunzo stadi na kuzitambua Leseni zao ili kupata mikopo na vifaa vya uchimbaji kwa urahisi~ @AnthonyMavunde #BajetiMadini #MadiniNiMaishaNaUtajiri
account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Katika mwaka wa fedha uliopita, serikali ilikusanya shilingi bilioni 678 kupitia maduhuri. Hata hivyo, hii ni asilimia 16 tu ya uwezo wetu wa kipekee. Tuna matumaini ya kuona ongezeko kubwa mwaka huu

Anthony Mavunde

account_circle
Sylah arts(@Pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Wakuu bado naendelea kupokea Oda ya Tshirts kwa ajili ya matukio yenu muhimu mvae sare 🌸

Gharama ya kuprint Tshirts ni 15,000/= tu, unapata Tshirt ikiwa tayari printed.

📍Sinza kumekucha
☎️ 0786445451

Kwa mliopo mikoani tunapokea oda pia na kukusafirishia kwa BUS.

Wakuu bado naendelea kupokea Oda ya #Kuprint Tshirts kwa ajili ya matukio yenu muhimu mvae sare 🌸 Gharama ya kuprint Tshirts ni 15,000/= tu, unapata Tshirt ikiwa tayari printed. 📍Sinza kumekucha ☎️ 0786445451 Kwa mliopo mikoani tunapokea oda pia na kukusafirishia kwa BUS.
account_circle
James Munisi(@NjiwaFLow) 's Twitter Profile Photo

💨 CHAPATI ZA DUBAI 💥

▪️Pixel 6a (6+128) - 590K
▪️Pixel 6 (8+128) - 680K
▪️Pixel 6 Pro (12+256) - 850K
▪️Pixel 7a (8+128) - 850K
▪️Pixel 7 Pro (12+128) - 1.2m
▪️Pixel 8 (8+128) - 1.45m
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.95m
Mpya
▪️Pixel 7a (8+128) - 1.25m📦
▪️Pixel 7 Pro (12+128) -

💨 CHAPATI ZA DUBAI 💥 ▪️Pixel 6a (6+128) - 590K ▪️Pixel 6 (8+128) - 680K ▪️Pixel 6 Pro (12+256) - 850K ▪️Pixel 7a (8+128) - 850K ▪️Pixel 7 Pro (12+128) - 1.2m ▪️Pixel 8 (8+128) - 1.45m ▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.95m Mpya ▪️Pixel 7a (8+128) - 1.25m📦 ▪️Pixel 7 Pro (12+128) -
account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Kwa kipindi cha kuanzia Julai,
2023 hadi Machi, 2024, bei ya madini ya dhahabu kwa
wakia ilipanda hadi kufikia wastani wa Dola za Marekani
2,138.01 ikilinganishwa na bei ya wastani wa Dola za
Marekani 1,854.54 katika kipindi cha Julai 2022 hadi Machi
2023. ~ Waziri wa Madini,

account_circle